Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Hawa ndio kina Hamisa, kuiba waume za watusasa mtu hadi anakuja mko wote mna haraka gani ya kukimbilia kunyonyana kabla hata ya kujipiga maji? iwe mwanamke au mwanaume..alafu mnakuja kulialia hapa..chukua muda wako, jifanyieni usafi...mjikaushe vizuri mambo ndo yaendelee..
Kinachosababisha kunuka ni kutokunyoa mavu.z.I, sasa ukichanganya joto,friction na pengine kurudia kuvaa boxer na hasa ukizingatia wengine wetu wanaume hupenda sana jeans ambazo pia ni nzitoDahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Kwenye pharmacy za dar inapatikanaNi dawa ya kupaka kaka. Yenyewe ni ointment sio cream. Kuna kampuni hapa bongo zinatengeneza na hata pale Mwanza. Zinapatikana kwenye maduka ya dawa.
Ila ile ya Mwanza nadhani hawachanganyi vizuri acid yake, huwa inachoma sana.
Usipake kama unamichubuko, itakuunguza.
Huyu atakuwa anatoka na Le Mutuz! Maana niliyoyasikia kwa Mange kumhusu huyu bwana ni hatareeeee!!Nimecheka ulivyosema "tuwasaidiaje hawa wanaume". hii sentensi inaukakasi, ngoja maswali yaje, utaulizwa umenusa wangapi.
Kama hana michubuko, atumie Whitefield ointment.
Mkuu ni uongo mtupu kwa huyo anayesema anabadili boxer kila siku, almost ni baada ya cku mbili nakuendeleaUmesoma post yangu na kunielewa??? Hivi unadhani ni asilimia ngapi ya wanaume wanabadili nguo za ndani kila siku?
Kwani wewe ni me au ke? kama ni me basi usijifanye mgeni hapa, almost wote tumepitia huko!
Karibia maduka yote ya dawa inapatikana. Whitefield ya Kenya au India ndiyo huwa naona nzuri.Kwenye pharmacy za dar inapatikana
Solution ni kuoga at last mara moja kwa siku na kubadili boxer mara kwa mara. Nikisema kila siku ni uongo....let's say baada ya siku tatu.
We ni mchafu asee,,,kila siku unatakiwa boxer safiSolution ni kuoga at last mara moja kwa siku na kubadili boxer mara kwa mara. Nikisema kila siku ni uongo....let's say baada ya siku tatu.
Sasa hizo harufu zao utazisikiajeIssue ya kutoka inakujaje hapa? Nimekuelezea unavyotakiwa kujiosha... haina maana nina uzoefu wa kulala nao
We ni mchafu asee,,,kila siku unatakiwa boxer safi
Pablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.Kwenye pharmacy za dar inapatikana