Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kwenye mapumbu

Jinsi ya kuzuia harufu mbaya kwenye mapumbu

sasa mtu hadi anakuja mko wote mna haraka gani ya kukimbilia kunyonyana kabla hata ya kujipiga maji? iwe mwanamke au mwanaume..alafu mnakuja kulialia hapa..chukua muda wako, jifanyieni usafi...mjikaushe vizuri mambo ndo yaendelee..
Hawa ndio kina Hamisa, kuiba waume za watu
 
Kinan
Dahh hili limekuwa tatizo kubwa sana tuwasaidieje hawa jamaa wananuka ma.pu.m.bu yani akitoa boksa hali ya hewa inabadilika na hata zoezi la BJ linafanyika kwa tabu sana
Kinachosababisha kunuka ni kutokunyoa mavu.z.I, sasa ukichanganya joto,friction na pengine kurudia kuvaa boxer na hasa ukizingatia wengine wetu wanaume hupenda sana jeans ambazo pia ni nzito
Yawezekana wazee wa pwani waliliona hilo ndio zamani wakijivalia msuli mwepesiiii
 
Ni dawa ya kupaka kaka. Yenyewe ni ointment sio cream. Kuna kampuni hapa bongo zinatengeneza na hata pale Mwanza. Zinapatikana kwenye maduka ya dawa.

Ila ile ya Mwanza nadhani hawachanganyi vizuri acid yake, huwa inachoma sana.

Usipake kama unamichubuko, itakuunguza.
Kwenye pharmacy za dar inapatikana
 
Tit for tat,naona wamejibu ile mliowafurumushia juzikati kuwa wanatoa harufu,halafu wameandika neno lenyewe kabisa kama lilivyo bila ya hata kupunguza ukali...!!mmeshindwa hata kuandika mapepe ili kuua soo...
 
Nimecheka ulivyosema "tuwasaidiaje hawa wanaume". hii sentensi inaukakasi, ngoja maswali yaje, utaulizwa umenusa wangapi.

Kama hana michubuko, atumie Whitefield ointment.
Huyu atakuwa anatoka na Le Mutuz! Maana niliyoyasikia kwa Mange kumhusu huyu bwana ni hatareeeee!!
 
Umesoma post yangu na kunielewa??? Hivi unadhani ni asilimia ngapi ya wanaume wanabadili nguo za ndani kila siku?

Kwani wewe ni me au ke? kama ni me basi usijifanye mgeni hapa, almost wote tumepitia huko!
Mkuu ni uongo mtupu kwa huyo anayesema anabadili boxer kila siku, almost ni baada ya cku mbili nakuendelea
 
Solution ni kuoga at last mara moja kwa siku na kubadili boxer mara kwa mara. Nikisema kila siku ni uongo....let's say baada ya siku tatu.

Mh! wewe lazma utakuwa wa mikoani! kule wanakolala na ng'ombe chumba kimoja! pichu ubadili kwa siku tatu? au sijakuelewa basi si bora ujifanye kama wamasai usivae kabisa! mkiambiwa Dar es Salaam inawastaarabisha mnabisha! njooni mfundishwe usafi Dar! maji kila kona! mito ipo, bahari zipo mabwawa chemchem zipo!
 
Kuna watu huwa mnapata watu wa hovyo hovyo
 
SHIDA YA KUJIFANYA MNAKUWA NA USONGO WA KUVULIWA NGUO MLANGONI!
Relaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaax!
 
Solution ni kuoga at last mara moja kwa siku na kubadili boxer mara kwa mara. Nikisema kila siku ni uongo....let's say baada ya siku tatu.
We ni mchafu asee,,,kila siku unatakiwa boxer safi
 
We ni mchafu asee,,,kila siku unatakiwa boxer safi

Kwani ni mimi nimesema nabadili baada ya siku tatu? Mimi nimetoa tu pendekezo kwa huyo aliyekumbana na jamaa wa hivyo....ndiyo maana nikasema aanze na siku tatu kwanza kabla hajaanza routine ya kila siku
 
Kwenye pharmacy za dar inapatikana
Pablo, kutumia dawa bila kuzingatia mambo ya afya ni bure.

Hakikisha unavaa boxer au chupi za cotton. Na unabadili kila siku.

Hakikisha unajifuta vizuri na maji yote kukauka kabla hujavaa boxer au chupi.

Hakikisha unanyoosha pasi nguo zako za ndani kabla ya kuvaa kama huwa unaanika ndani na una fungus.

Kabla ya kutumia dawa, tupa au choma moto nguo za ndani za zamani na ununue mpya.

Hakikisha mwezi wako hana fungus, unaweza ukawa unajitibu, kumbe mwenza wako ndiyo tatizo.

Baada ya kutumia dawa na kuona mambo ni yale yale, nenda kamwone dr.
 
Back
Top Bottom