Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Hapa si inategemea kama una MP inayoeleweka kuna wale wenzangu mara tarehe 20 mara tarehe 10Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
Hapo sasa ila itasaidia kujua tatizo lipo wapiHapa si inategemea kama una MP inayoeleweka!
Kuna wale wenzangu mara tarehe 20 mara tarehe 10
Ni shida
Its a better way kwa watu wenye kalenda inayoeleweka i tried it twice and it didnt work perfectly.Hapo sasa ila itasaidia kujua tatizo lipo wapi
Am 28 netIts a better way kwa watu wenye kalenda inayoeleweka.
I tried it twice and it didnt work perfectly.
Yale ya sokoni au kule DDC?Am 28 net
Kuna dawa nenda kariakoo maduka ya asili nunua dawa inaitwa mama plus tsh elf kumi
Ikishindwa nitafute nikupe ingine
Kituo cha mabasi cha tegetaYale ya sokoni au kule DDC?
Nimepaelewa sana.Kituo cha mabasi cha tegeta
Yale ya sokoni
Ikigoma uniambie nikuagizie ingine kijijini hyo ni kiboko ni vile sio rahisi kuipata jaribu kwanza hii inayopatikanaNimepaelewa sana.
Shukrani
Ok asante.Ikigoma uniambie nikuagizie ingine kijijini
Hyo ni kiboko ni vile sio rahisi kuipata jaribu kwanza hii inayopatikana
Umri wako na siku uliyoanza period last time mengine inasema yenyewe mkuuHiyo app inataka taarifa zipi nimeyafikiria makoloni kadhaa yafungia 'sateliti
duka lipi sasa hapo? kushoto au kulia, haina madhara?Am 28 net
Kuna dawa nenda kariakoo maduka ya asili nunua dawa inaitwa mama plus tsh elf kumi
Ikishindwa nitafute nikupe ingine
Haina madhara dearduka lipi sasa hapo? kushoto au kulia, haina madhara?
Sasa unatakiwa ujua alianza lini period last monthMakoloni na mpenzi vitu tofauti!..Hiyo app siwezi ifunga kwa mpenzi wangu naifunga kwa makoloni huko!..
Not very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
Nyie ndo mlichaganya mana ile inaonyesha kila mwezi tarehe ukiyoanza, sasa hata wewe unaweza kuhesabu tu na ucpate, technology ime improve ka mzunguko wake ni wa siku 28 hapo unajua tu siku ya kumi na nne ndo evolution kuanzia 11 ni dangerNot very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu!!!! Kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
ni duka lipi hapo najua hayo madukaHaina madhara dear
Ndugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi kumbe tayari.Nyie ndo mlichaganya mana ile inaonyesha kila mwezi tarehe ukiyoanza, sasa hata wewe unaweza kuhesabu tu na ucpate, technology ime improve ka mzunguko wake ni wa siku 28 hapo unajua tu siku ya kumi na nne ndo evolution kuanzia 11 ni danger