Jinsi ya kuzuia mimba na kujua unaingia lini period kwa kutumia simu

Jinsi ya kuzuia mimba na kujua unaingia lini period kwa kutumia simu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
 
Hapa si inategemea kama una MP inayoeleweka kuna wale wenzangu mara tarehe 20 mara tarehe 10

Ni shida
 
Mi ninayo hyo application nzuri yani inanionyesha mzunguko wangu wa siku ngapi danger days na siku free. Hii nzuri hata kwa uzazi wa mpango
 
Naongezea msisitizo tuu!, sipendi mtu akutane na hii moment humu [emoji3][emoji3][emoji3]

eec62245e0f45b52fab19bfb6dc1f290.jpg
 
Kama una smart phone bna huna haja ya kuogopa tena
Install application ya period tracker inakuonesha kila kitu
Siku safe kusex
Ovulation day
Siku ngapi zimebaki upate period etc
Yaani inakuonesha yai lipo wapi kila Siku hadi raha
Not very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Not very recommendable!! Niulize kilichotupata na mke wangu!!!! Kumbe calendar ilivuruguka pasipo kujua, kilichotokea ni mapacha wanaopishana mwaka na nusu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nyie ndo mlichaganya mana ile inaonyesha kila mwezi tarehe ukiyoanza, sasa hata wewe unaweza kuhesabu tu na ucpate, technology ime improve ka mzunguko wake ni wa siku 28 hapo unajua tu siku ya kumi na nne ndo evolution kuanzia 11 ni danger
 
Ndugu naelewa kabisa calculation zake na tulikuwa tumeitumia kwa zaidi ya miezi 6 bila shida sudden change kwenye circle ndo ilivuruguka, Subiri MP wapi kumbe tayari.
 
Back
Top Bottom