Jinsi ya kuzuia na kupunguza hasira

Jinsi ya kuzuia na kupunguza hasira

Ukiwa na hasira sana jaribu Kunywa au kunawa maji, kwani husaidia kuondoa hasira kwa haraka,,. Na kama wewe ni muislamu jaribu kuchkua udhu hasira zitaondoka
 
Ukiwa na hasira sana jaribu Kunywa au kunawa maji, kwani husaidia kuondoa hasira kwa haraka,,. Na kama wewe ni muislamu jaribu kuchkua udhu hasira zitaondoka
Kama hamna maji mi nadhani ni kuondoka eneo lenye kuleta maudhi.
 
Habari,

Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?

8 Home Remedies for a Short Temper

The world seems to be moving a little bit faster every day. Sometimes it is hard to keep up. This can make a person feel stressed out, anxious, and tired. All these things can easily make a person upset or angry.
Some people are silent when they are angry, but some people take out their frustrations. This isn’t a very healthy way to deal with your feelings. Instead, try to follow some of these home remedies to better control and resolve your anger problems.


#1. Know your Triggers


Different things upset different people. If you know that something makes you mad enough to lash out at others, then it might just be best to avoid these things. Of course, you can’t avoid your job or your kids, but you can give yourself some alone timewhen they are making you especially upset.
Taking some alone time in these situations can greatly help you with any sort of anger you might have. If you get upset by things that you can easily avoid, like watching the news or talking to people that you don’t have to, then avoid them. It’s bound to make your life less stressful.


#2. Reduce Stress

Reducing stress is one of the best natural remedies to make your temper at up less. Stress is one of the leading causes of anger. The less stressed that you are, the less likely you are to lash out when you get upset.
Like triggers, there are different things that stress people out just like there are different things that people can do to become less stressed. Avoid what makes you stressed out when you can, and do the things that help you to relax when you are stressed. Many people like yoga, soft music, or a quiet space with a good book to relax.


#3. Have an Anger Plan

Sometimes you just get angry and there seems to be nothing that you can do about it. Sometimes you just need to let out your anger in a non harmful way. This can be difficult at times. If you are constantly upset, then it might be a good idea to invest in apunching bag. Other people feel better when they listen to loud metal music or sing along to rock. Other times it’s better to be alone too and just take a nap.

#4. Deep Breathing

One natural remedy that many people do when they are stressed out is meditate. If you have the time, then meditating is a great way to relax and become less stressed out. If you don’t have the time to meditate, then taking a minute to take in some deep breathscan also work. This is a simple and great way to remove some of your stress if you are in a public place, like at work or school.
meditation.jpg


#5. Exercise

People who exercise tend to be less stressed than people who don’t exercise. Also, exercising is a great natural home remedy to get rid of stress.
Exercising is a safe and healthy way to get out some anger without hurting or offending others. Using a punching bag, lifting weights, running or briskly walking, and even doing yoga can help to reduce stress and anger. Try it out the next time that you get upset.


#6. Eat Enough

In case you haven’t noticed already, people generally tend to be crabbier if they are hungry. Make sure that you are eating enough meals and snacks during the day to avoid this cause of anger.
However, it is not a good idea to eat when you are angry or upset. This can easily causeweight gain and a bad habit that could affect your life later. It might seem like a good idea at the time, but stress or anger eating can cause health problems later.
eat.jpg


#7. Get More Sleep

While people tend to be more easily upset while they are hungry, they also tend to be angrier when they are low on sleep. Make sure that you are getting enough sleep at night. Most doctors recommend that a person should get around eight hours of sleep at night. The more sleep you get, the less likely you are to lash out at others when you get upset.

#8. Talk to a Friend

Lastly, sometimes talking out your problems are the best home remedy to deal with them. If you are upset with someone, take some time alone to calm down and then talk to them about the problem. This will make it easier to avoid problems that could happen because of the same scenario. If someone knows that what they did hurt your feelings, then they are less to do the thing in the future. If you cannot talk to whoever hurt you, then try talking about the issue with a compassionate friend instead.
Hopefully these natural remedies can help you to better deal with your short temper. By following these tips you should be able to lengthen it. 8 Home Remedies For A Short Temper | Sun Signs
 
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka

Mshana kwa hivi vyakula kusema kweli mimi ni ngumu kuacha, Yaani niache kula chumvi ?? tena ukute ndio nakula ndizi bukoba mbona utafurahi.
 
Mshana kwa hivi vyakula kusema kweli mimi ni ngumu kuacha, Yaani niache kula chumvi ?? tena ukute ndio nakula ndizi bukoba mbona utafurahi.
Chochote kile kuacha mara moja haishauriwi hata ngono! Bali unapunguza kipimo mwisho unazoea kabisa na hata mwili utaona unabadilika
 
eh MUNGU atunusuru maana wengine tunachemshiwaga damu na bibi zetu tunakunywa..mhh inatisha
Zile sio shida sana kwakuwa huambatana na matambiko yenye nia njema
Tatizo ni haya manyama tunayoyala hovyo mitaani mengine yamebeba maroho na mapepo yenye visirani vya kila aina
 
Zile sio shida sana kwakuwa huambatana na matambiko yenye nia njema
Tatizo ni haya manyama tunayoyala hovyo mitaani mengine yamebeba maroho na mapepo yenye visirani vya kila aina
ohh yatashindwa na kulegea AMENIII
 
Mkuu kuna njia nyingi za kupunguza hasira. Moja ni kudhamiria kwamba naondoa hasira, nakujiambia napunguza hasira moyoni weka nia na lengo, lkn pia njia nyingine ni kulala kifudi fudi kila unapopata hasira. Lala chini mpaka utakapoona hasira zako zimeisha.
Bahati mbaya akikanyagwa na mtu kwenye daladala.....atalala wapi?
 
Habari,

Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?

Hakikisha Unapoanza Kuona HASIRA Zinaanza Kukupanda Basi UNAJAMBA Sana Tatizo Litaisha.
 
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
sijui km naweza kupunguza nyama nakula kila siku ya maisha yangu na nikikosa nakuwa kama mgonjwwa najiskia kupungukiwa na kitu
 
Back
Top Bottom