Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no ntasoma jumatatu leo nawaza pa kwenda kupunguza hasiramathayo5:22,....Bali mimi nawaambieni,kila amwoneaye ndugu yake hasiraitampasa hukumu.....inaendelea tafuta bible soma hapo please
u8meandika kigalatia ama sieleweni pia usiwe na hasira hadi likichwa,.....efeso4:26
Nina hasira na kuna watu sijawahi kuwa same he wala sitawahiYap nakumbuka wameandika jua likizama bado ninahasira ni dhambi,,, but jmesema hasira haina budi kuwapo,, ila ndo isivuke siku
Wee cheka tu lakini ndio ukweli😛😛😛😛😛😛😛
hahaha sawaWee cheka tu lakini ndio ukweli
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
Hili ni tatizo tofauti, ni tatizo la kisaikolojia hali ya kuwa na kinyongo kwa jambo dogo kwa muda mrefu... Ni suala linalohusika na malezi na makuziMume wangu hali nyama nyekundu, vitunguu na chumvi ni kiasi na mara nyingi hula nyumbani. Lakini hasira zake zinazidi maelezo. Anaweza kasirika hata 3 months. Ukimuuliza anadai bado ana hasira ya jambo fulani... hiyo ni nini mkuu??
ni kweli kabisa mi nikichukia kitu hakinitoki haraka sijui inakuwajeMume wangu hali nyama nyekundu, vitunguu na chumvi ni kiasi na mara nyingi hula nyumbani. Lakini hasira zake zinazidi maelezo. Anaweza kasirika hata 3 months. Ukimuuliza anadai bado ana hasira ya jambo fulani... hiyo ni nini mkuu??
Mmmm!!! ndi dawa yake?Ukipatwa hasira kunywa maji mengiiiii halafu kaogee
count to ten principle. kanuni hii huitumia sana mabosi ambao wanakutana na mambo mengii ya kuudhi kutoka kwa wafanya kazi wao.
mara tu upatapo jambo la kukukasirisha kabla hujafanya maamuzi yoyote hesabu moja mpaka kumi then utakua usharelax na waweza fanya maamuzi ya kujenga.
Hili ni tatizo tofauti, ni tatizo la kisaikolojia hali ya kuwa na kinyongo kwa jambo dogo kwa muda mrefu... Ni suala linalohusika na malezi na makuzi