Unaonyesha hata kwenye avatar.nakula nyama dayly vitunguu sana hata asubuhi kwenye chai pilipili na nina jazba ukinikorofisha kidogo navimba kama swila
Kama hamna maji mi nadhani ni kuondoka eneo lenye kuleta maudhi.Ukiwa na hasira sana jaribu Kunywa au kunawa maji, kwani husaidia kuondoa hasira kwa haraka,,. Na kama wewe ni muislamu jaribu kuchkua udhu hasira zitaondoka
Habari,
Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?
hahah kweli ndo maana yale makabila yanayokula nyama sana huwa na hasiraa haswaaa...Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
Ni kwasababu ya ile damu, kila nyama imebeba roho zenye tabia tofautihahah kweli ndo maana yale makabila yanayokula nyama sana huwa na hasiraa haswaaa...
eh MUNGU atunusuru maana wengine tunachemshiwaga damu na bibi zetu tunakunywa..mhh inatishaNi kwasababu ya ile damu, kila nyama imebeba roho zenye tabia tofauti
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
Chochote kile kuacha mara moja haishauriwi hata ngono! Bali unapunguza kipimo mwisho unazoea kabisa na hata mwili utaona unabadilikaMshana kwa hivi vyakula kusema kweli mimi ni ngumu kuacha, Yaani niache kula chumvi ?? tena ukute ndio nakula ndizi bukoba mbona utafurahi.
Zile sio shida sana kwakuwa huambatana na matambiko yenye nia njemaeh MUNGU atunusuru maana wengine tunachemshiwaga damu na bibi zetu tunakunywa..mhh inatisha
ohh yatashindwa na kulegea AMENIIIZile sio shida sana kwakuwa huambatana na matambiko yenye nia njema
Tatizo ni haya manyama tunayoyala hovyo mitaani mengine yamebeba maroho na mapepo yenye visirani vya kila aina
Bahati mbaya akikanyagwa na mtu kwenye daladala.....atalala wapi?Mkuu kuna njia nyingi za kupunguza hasira. Moja ni kudhamiria kwamba naondoa hasira, nakujiambia napunguza hasira moyoni weka nia na lengo, lkn pia njia nyingine ni kulala kifudi fudi kila unapopata hasira. Lala chini mpaka utakapoona hasira zako zimeisha.
Hatari saana!Zile sio shida sana kwakuwa huambatana na matambiko yenye nia njema
Tatizo ni haya manyama tunayoyala hovyo mitaani mengine yamebeba maroho na mapepo yenye visirani vya kila aina
Habari,
Mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali, nifanyaje?
Aache kula pilipili piaFanya meditation
Punguza sana ulaji wa nyama na chochote chenye vitunguu vingi
Punguza matumizi ya chumvi na kahawa
Kila hasira zinapokujia vuta pumzi tatu ndefu
hahah kweli ndo maana yale makabila yanayokula nyama sana huwa na hasiraa haswaaa...
sijui km naweza kupunguza nyama nakula kila siku ya maisha yangu na nikikosa nakuwa kama mgonjwwa najiskia kupungukiwa na kituPunguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
Nyama zina madhara Jitahidi kupunguza si kuacha kabla hukaandikiwa na daktarisijui km naweza kupunguza nyama nakula kila siku ya maisha yangu na nikikosa nakuwa kama mgonjwwa najiskia kupungukiwa na kitu
πππππππππNyama zina madhara Jitahidi kupunguza si kuacha kabla hukaandikiwa na daktari