Jinsi ya kuzuia na kupunguza hasira

mathayo5:22,....Bali mimi nawaambieni,kila amwoneaye ndugu yake hasiraitampasa hukumu.....inaendelea tafuta bible soma hapo please
no ntasoma jumatatu leo nawaza pa kwenda kupunguza hasira
 
hata huu uzi umeandika kwa hasira uongo?

fata ushauri mkuu utapona & all the best
 
Nunua ngoma ( drum ), ukipata hasira unapiga mpk hasira inakwisha![emoji1]
 
anza kuhesabu kuanzia mia kurudi nyuma.. 100,99,98,97,96,95,94,93,92,91....mpaka moja
 
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka

Mume wangu hali nyama nyekundu, vitunguu na chumvi ni kiasi na mara nyingi hula nyumbani. Lakini hasira zake zinazidi maelezo. Anaweza kasirika hata 3 months. Ukimuuliza anadai bado ana hasira ya jambo fulani... hiyo ni nini mkuu??
 
Hili ni tatizo tofauti, ni tatizo la kisaikolojia hali ya kuwa na kinyongo kwa jambo dogo kwa muda mrefu... Ni suala linalohusika na malezi na makuzi
 
Kuna hasira za kawaida, ambazo ukinywa maji inaisha,
Pia kuna hasira za kishetani, yani unakua na jini ndani yako ndio utakuta kitu kidogo umepandwa na hasira, unafanya mambo ya ajabu hlf baadae ukikaa mwenyewe unakua unajuta,
Au mtu anaamka anakua tu na hasira bila sbb yyt,
Lakin pia kuna hasira (kwa baadhi ya wanawake) wakikaribia period au wakiwa period,
Wanakua na hasira sana,
May be yale maumivu au ile hali kiujumla huleta hasira.

Tuzidi kumuomba Mungu atuepushe na athari zitokanazo na hasira.
 
Mume wangu hali nyama nyekundu, vitunguu na chumvi ni kiasi na mara nyingi hula nyumbani. Lakini hasira zake zinazidi maelezo. Anaweza kasirika hata 3 months. Ukimuuliza anadai bado ana hasira ya jambo fulani... hiyo ni nini mkuu??
ni kweli kabisa mi nikichukia kitu hakinitoki haraka sijui inakuwaje
 
Ukipatwa hasira kunywa maji mengiiiii halafu kaogee
 
count to ten principle. kanuni hii huitumia sana mabosi ambao wanakutana na mambo mengii ya kuudhi kutoka kwa wafanya kazi wao.
mara tu upatapo jambo la kukukasirisha kabla hujafanya maamuzi yoyote hesabu moja mpaka kumi then utakua usharelax na waweza fanya maamuzi ya kujenga.
 
Ntaijaribu hii, lakini mimi maji huwa yananisaidia sana. Hasa nikinywa huwa najisikia nafuu....
 
Hili ni tatizo tofauti, ni tatizo la kisaikolojia hali ya kuwa na kinyongo kwa jambo dogo kwa muda mrefu... Ni suala linalohusika na malezi na makuzi

Ni kweli usemayo, niliisikia toka kwa rafiki yake wa karibu kuwa malezi yamemuathiri sana. Hasira, kinyongo na kuzira. Hebu nisaidie labda inawezekana kusaidiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…