Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mada inaongelea wizi wa TVWakiua je utapata mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada inaongelea wizi wa TVWakiua je utapata mwingine.
Wakija kuiba wakitaitiwa si wanaua Ili wakimbie, kupitia ilipo tv utawapa wauaji uwalipize visasiMada inaongelea wizi wa TV
Kibaka hana nguvu hiyo, hakuna jambazi atakayevunja nyumba kwa ajili ya kuiba TVWakija kuiba wakitaitiwa si wanaua Ili wakimbie, kupitia ilipo tv utawapa wauaji uwalipize visasi
Wakibaka na kutoa bikra binti zako itakuwaje?Waibe tu tutanunua nyingine
Suluhisho ni electric fencing!Wezi siku hizi wajanja, wakiiba wana watu wao wanawapelekea wanang'oa hicho kifaa
asante kaka , karibu, hii inakusaidia kujua TV yako ilipo baada ya kuibiwaGood i secure
Electric fence inasaidia pia. Lakini ndio gharama sasaSuluhisho ni electric fencin
Unaweza kununua nyingine sawa, Lakini inavyooneka hujawai kuibiwa TV . Sio hizi za nchi 32, imagine Una tv ya ichi 50 kwenda mbele . Pia vile vile, wakitokea kukudhuru utawapatia wapi?Waibe tu tutanunua nyingine
hapo kweli, wakija kukudhuru utawapatia wapi? TV itakuwa ndio njia ya kwanza kwa kuanziaWakiua je utapata mwingine.
Pia zingatio Thamani ya TV unayonunua kwanza kisha ndio useme hiyo ni bei kubwa au ndogoKitu chochote kisicho zuia huwezi funga kwa bei kubwa hiyo. 180,000 ni TV nyingine tu
kinafungwa ndani ya TV, pia kinakuwana betriHiko kifaa kinachajiwaje au kinatumia betri?
Inawezekana ni kweli, Lakini pia na sisi tutamfikiaje mteja. Pia wakiona hivi hata kuiba pia kutapunguaHapa majizi yanasoma mbinu zenu.
Siku hizi wezi wakiiba cha kwanza kabisa ni kukagua. Na ndo maana bado zinaibiwa sanaKweli kabisa, na nilichojifunza. Ukifunga gps kwenye chombo chako wala usitangaze kwa watu.. Kuna mtu anafunga gps kwenye bodaboda au bajaj au tax yake halaf anamwambia dereva kibarua kuhusu kuwepo kwa gps.... Dereva yupo kijiweni anaanza kujitapa kwa wenzake kuwa chombo ina gps wezi hawaibi hii
Tracker za tv zauzwa chini ya 23,000 hapo mtoa mada kajiongeza tu awapige watuKitu chochote kisicho zuia huwezi funga kwa bei kubwa hiyo. 180,000 ni TV nyingine tu
Kata bima kubwa usihangaike na gps, maana siku hizi wakiiba inaenda kaguliwa mapema kabisaKampuni gani walikufungia gps?
Ninataka kufunga kwenye chombo changu cha usafiri.
unaweza pia kuwasiliana na sisi kwa ajili ya hilo. 0710141917Kampuni gani walikufungia gps?
Ninataka kufunga kwenye chombo changu cha usafiri.
Sawa hiyo ni kwa mtazamo wako. ZIngatia chombo kinachofungulia ni TV. Kama ni kwa bei hiyo kila mtu angeweza kujifungiaTracker za tv zauzwa chini ya 23,000 hapo mtoa mada kajiongeza tu awapige watu
Dah una bahati sanaInaonesha last location ilikuwa wapi, mimi nilifunga bajaji yangu Kigamboni bila dereva kujua bhana... ikaja ibiwa nkawasha zangu data nkai track ikawa ipo Ubungo kuna gereji moja hivi, nikaenda polisi Urafiki pale nikachukua askari wakavamia lile eneo tukakuta bajaji sita za wizi zimebaki zinasubiri kusafirishwa mkoani na wahuni tukawadaka watatu..
Wale wamiliki wengine wa bajaj walipatikana na walinishukuru sana. Ile bajaj nkaiuza fasta Dodoma huko, ila Gps nmeitoa ninayo kwenye droo.