Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

Kitu chochote kisicho zuia huwezi funga kwa bei kubwa hiyo. 180,000 ni TV nyingine tu
Pia zingatio Thamani ya TV unayonunua kwanza kisha ndio useme hiyo ni bei kubwa au ndogo
 
Kweli kabisa, na nilichojifunza. Ukifunga gps kwenye chombo chako wala usitangaze kwa watu.. Kuna mtu anafunga gps kwenye bodaboda au bajaj au tax yake halaf anamwambia dereva kibarua kuhusu kuwepo kwa gps.... Dereva yupo kijiweni anaanza kujitapa kwa wenzake kuwa chombo ina gps wezi hawaibi hii
Siku hizi wezi wakiiba cha kwanza kabisa ni kukagua. Na ndo maana bado zinaibiwa sana
 
Kampuni gani walikufungia gps?
Ninataka kufunga kwenye chombo changu cha usafiri.
Kata bima kubwa usihangaike na gps, maana siku hizi wakiiba inaenda kaguliwa mapema kabisa
 
Tracker za tv zauzwa chini ya 23,000 hapo mtoa mada kajiongeza tu awapige watu
Sawa hiyo ni kwa mtazamo wako. ZIngatia chombo kinachofungulia ni TV. Kama ni kwa bei hiyo kila mtu angeweza kujifungia
 
Inaonesha last location ilikuwa wapi, mimi nilifunga bajaji yangu Kigamboni bila dereva kujua bhana... ikaja ibiwa nkawasha zangu data nkai track ikawa ipo Ubungo kuna gereji moja hivi, nikaenda polisi Urafiki pale nikachukua askari wakavamia lile eneo tukakuta bajaji sita za wizi zimebaki zinasubiri kusafirishwa mkoani na wahuni tukawadaka watatu..

Wale wamiliki wengine wa bajaj walipatikana na walinishukuru sana. Ile bajaj nkaiuza fasta Dodoma huko, ila Gps nmeitoa ninayo kwenye droo.
Dah una bahati sana
 
Back
Top Bottom