Jinsi ya ya ku-edit pdf document

Jinsi ya ya ku-edit pdf document

Nimeedit sana biometric za kazini.....

Washenzi wale wanajifanya kutumia mifumo ya kisasa wakati wako nyuma ya wakati, wakisharelease soft copy tuu kabla hawajaiprint naifanyia manuva chap chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu tumia hii, ila lazima uwe online.

 
Tumia smallpdf, i google ipo simple sana convert kuwa word ufanye mambo
 
Hata kwa pdf ambayo ilikuwa scanned?
Ndio, ila ikisha convert zitakuja kama picha zilizokuwa attached kwenye page za MS Word, so hutaweza kuandika kitu zaidi labda kufuta page yote ufanye ku attach mpya.

(Sijajua kama utanielewa aya maelezo)
 
Ndo ikoje
Aseeh, kwanza samahani mkuu, sikuuliza hata kama anataka ku-edit kwa kupitia simu au kompyuta?

Pili adobe ni programu ya kompyuta inatumika kufanya shughuli nyingi ila mojawapo ni ku-open pdf documents ( adobe pdf reader), sasa kama hauna adobe pdf reader premier hauwezi ku-edit pdf document yoyote labda u-export kwanza to Ms word then pdf.

Tatu, kama mtoa mada anauliza ku-edit kwa kupitia simu nami nitaungana nae kusubiri majibu but the rest ndio kama nilivyoeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom