Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OCR yake huwa ina changamoto sana kama content ina lugha tofauti na kingerezaTumia pdf element mkuu, download Google
Ndo ikojeKama unatumia adobe, tafuta crack iwe adobe premier na utaweza ku-edit bila shida yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda google andika convert pdf to word... Atakwambia u attach pdf.. unaatach then ina convert... Then edit pitia word.... Then utachange tena word to pdf...Msaada jinsi ya kuedit pdf document
Tumia smallpdf, i google ipo simple sana convert kuwa word ufanye mambo
DuMkuu tumia hii, ila lazima uwe online.
Easy to use Online PDF editor
Free, no watermarks or registration. Edit PDF files for free. Fill & sign PDFs. Change existing text and links. Find & replace text. Whiteout. Add text, images, links and annotations.www.sejda.com
Ndio, ila ikisha convert zitakuja kama picha zilizokuwa attached kwenye page za MS Word, so hutaweza kuandika kitu zaidi labda kufuta page yote ufanye ku attach mpya.Hata kwa pdf ambayo ilikuwa scanned?
Aseeh, kwanza samahani mkuu, sikuuliza hata kama anataka ku-edit kwa kupitia simu au kompyuta?Ndo ikoje
Huu userious wa aina hii wa Le proffeseri hatujazoea kabisa
Tumia app ya premium CamScannerMsaada jinsi ya kuedit pdf document
Mimi hua nafanya hivi, very easyNenda google andika convert pdf to word... Atakwambia u attach pdf.. unaatach then ina convert... Then edit pitia word.... Then utachange tena word to pdf...
Hii kwenye simu au?Tumia app ya premium CamScanner