Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa.
Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria.

Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017.

Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........

IMG-20230602-WA0002.jpg
 
"Rubani asubiri mweeee aamua kuamsha"

Hata ningekuwa mimi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Gongowazi ni Gongowazi tu wale sio wakuwapa dhamana wanaweza wakaja ni mpya nyingine ambayo hatukuweza kuifikiria
😂😂😂....
Naskia wamebebelea Viroba vya dona na wapishi.
Eti wanakwepa hujuma.
Uto hata nyie ni wa kuhujumiwa? Nyie mnapigwa hivi hivi tu.
 
😂😂😂....
Naskia wamebebelea Viroba vya dona na wapishi.
Eti wanakwepa hujuma.
Uto hata nyie ni wa kuhujumiwa? Nyie mnapigwa hivi hivi tu.
Sasa kama walibeba na unga kulikuwa na haja gani ya kusema mashabiki lialia wameachwa kwasababu hawana hela ya kujikimu?
 
Akili zao ni finyu sana.

Wamemchukua msemaji aliyekuwa anawatusi usiku na mchana.

Wasemaji wao NAO pia wamekuwa trained KUTUKANA WATU wazima.

UTOPOLO NI UTOPOLO TU.
 
Back
Top Bottom