Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nimecheka sana mkuuu 😆 😆 😆 😆Hii report ilikuwa ni ya 2018
Yanga Walipigwa 4-0.
Wameondoka na machawa wao.
Akina Kitenge.......
Na waganga wengi MNO...
Ndege ilikuwa inanuka mahirizi
Dege linanuka mizizi