Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa.
Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria.

Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017.

Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........

 
"Rubani asubiri mweeee aamua kuamsha"

Hata ningekuwa mimi
 
Reactions: Lee
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nyieee
 
Nimeelewa kwanini mama kawapa hawa Uto dege letu.
Gongowazi ni Gongowazi tu wale sio wakuwapa dhamana wanaweza wakaja ni mpya nyingine ambayo hatukuweza kuifikiria
 
Gongowazi ni Gongowazi tu wale sio wakuwapa dhamana wanaweza wakaja ni mpya nyingine ambayo hatukuweza kuifikiria
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
Naskia wamebebelea Viroba vya dona na wapishi.
Eti wanakwepa hujuma.
Uto hata nyie ni wa kuhujumiwa? Nyie mnapigwa hivi hivi tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....
Naskia wamebebelea Viroba vya dona na wapishi.
Eti wanakwepa hujuma.
Uto hata nyie ni wa kuhujumiwa? Nyie mnapigwa hivi hivi tu.
Sasa kama walibeba na unga kulikuwa na haja gani ya kusema mashabiki lialia wameachwa kwasababu hawana hela ya kujikimu?
 
Akili zao ni finyu sana.

Wamemchukua msemaji aliyekuwa anawatusi usiku na mchana.

Wasemaji wao NAO pia wamekuwa trained KUTUKANA WATU wazima.

UTOPOLO NI UTOPOLO TU.
 
Hii report ilikuwa ni ya 2018
Yanga Walipigwa 4-0.

Wameondoka na machawa wao.
Akina Kitenge.......

Na waganga wengi MNO...
Ndege ilikuwa inanuka mahirizi
Waelekezwe kuwa lile dege ni la taifa sio mali yao binafsi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…