Jionee maajabu! Hizi ndizo aina tatu za wanawake na styles zao

Kuna mmoja nilimpa out alivyokunywa tu Henken mbili akaanza nina Toyota Harrier na IST zimekodishwa na kampuni ya vodacom ziko kahama
Nikamsifia tu hongera
Hajui kuwa ninamfahamu sana kupitia rafiki yake ni rafiki na jamaa yangu na wanakaa geto moja
Ila huwa wanatumia ujanja huu ili game likiisha ukate dau linaloeleweka
Ujue si mtu wa 20000,30000
 
Nendeni vijijini hakuna cha type I, ii au iii Kule ni heshima zaidi
 
Type 1 hawana changamoto,huwezi kuwa tajiri ukiwa nao hao! Mambo yote type 2,mtu ana biasha km nne hivi lazima ujipange kumtokea.
 
Me nna type 2 Lakini wananchi wanasema xo bure huenda nimelishwa icho kipande cha kwenye nyapu! Coz vishatokea visa kaa laki na nusu iv vya kusikitisha xana kwenye hii love lakini bado mwenyewe namuona mpya
 
Ama kweli love is blind
 
Hahahah Babeki kweli mjini shule asee...
yani watu wanaishi kijanja tuu
 
Hahahah Babeki kweli mjini shule asee...
yani watu wanaishi kijanja tuu
 
Type 1 ujuaji haukwepeki hii inatokana na caliber yao vinginevyo kungekuwa hakuna tofauti! Ukimpata ambae elimu yake imemsaidia huwa anajitambua na kutambua nafasi yake ktk mahusiano/ndoa.
 
Type 1 ujuaji haukwepeki hii inatokana na caliber yao vinginevyo kungekuwa hakuna tofauti! Ukimpata ambae elimu yake imemsaidia huwa anajitambua na kutambua nafasi yake ktk mahusiano/ndoa.
Let me guess! Wewe ni type 1, maana huu mwandiko na unavyowajengea hoja [emoji1]
 
Let me guess! Wewe ni type 1, maana huu mwandiko na unavyowajengea hoja [emoji1]
Hahaaa, mwandiko wa kijuaji/hoja zilizojengeka vizuri...., unaweza ukawa umebashiri vyema!
 
Ni utahira mwanamke kwenda kazini na kukuacha umelala kitandani.
Unatamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…