Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Missile 1 ya iron dome ina cost $50000.
Roketi moja likizuiwa lililotengenezwa kienyeji, almost Tshs milioni 125 imetembea, vita ni gharama sana.
kwa hesabu za haraka hapo ni kama bilioni 5 Tshs zinafika kuzuia hayo maroketi.

Kwa Tech ya Iron Dome Israel ipewe maua yake, nisiwe mnafiki.
 
Missile 1 ya iron dome ina cost $50000.
Roketi moja likizuiwa lililotengenezwa kienyeji, almost Tshs milioni 125 imetembea, vita ni gharama sana.
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa haliwezi kuwa tatizo kwao, kombora moja kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati
, hizo ni hekaya, nchi zenye pesa chafu ni arabuni huko, israel inapokea msaada wa dola bilioni 3 kila mwaka kutoka US, na juzi hapa wameomba wasaidiwe dola bilioni 14 kupambana na Hamas.

Vita ni gharama mzee, wangekuwa wameshikilia mifumo ya pesa wasingeomba msaada.
 
Waarabu ni wabinafsi, familia chache zimejimilikisha visima vya mafuta huku wengine wana hali mbaya kiuchumi, na ndio hawa unawakuta wana jeuri ya pesa ana magari 100, majumba kibao, n.k. hajali kuwa kuna waarabu wengi wana hali duni

Wayahudi wapo matajiri wengi lakini wana nidhamu ya pesa na ni wasomi, wanaishi simple, tajiri unamkuta ana gari moja na wala hajitangazi, fedha zingine anasaidia wengine, na hawezi kukataa msaada hata apewe laki 1.
 
Waarabu ni wabinafsi wanatumia fedha za nchi kujinufaisha wachache na ndio hawa unawakuta wana jeuri ya pesa ana magari 100, majumba kibao, n.k.

Wayahudi wapo matajiri wengi lakini wana nidhamu ya pesa na wanaishi simple, tajiri unamkuta ana gari mbili tu, fedha zingine anasaidia wengine, na hawezi kukataa msaada hata apewe laki 1.
Kuhusu matumizi mi sifahamu , lakini ukitembea Qatar, UAE au Saudia na ukaenda Israel utaona tofauti kubwa ya kimiundombinu, utaona hao arabs walivyoendelea kuliko Israel.

Lakini ukae ukijua tu kuna nchi tajiri na nchi yenye uchumi, Qatar inaizidi utajiri US, lakini US wanaizidi uchumi Qatar.
 
Iron Dome haifanyi interception hivi. Hii itakuwa simulation ya wargame.
Na roketi za Hamas haziji kwenye mstari hata zikiwa launched kwenye pack moja, zinasambaa kidogo nyingine zinadondoka Gaza ukouko. Hazina accuracy.
Ndio maana nimesema ni maboresho, mabiresho huwa yanafanywa kwa mtindo mpya sio kama ulivyozoea kuona zamani.

Nao Hamas hawabweteki wanafanya maboresho roketi zao ziende kwa mstari nyingine zigzag
 
Back
Top Bottom