Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Ndio maana nimesema ni maboresho, mabiresho huwa yanafanywa kwa mtindo mpya sio kama ulivyozoea kuona zamani.

Nao Hamas hawabweteki wanafanya maboresho roketi zao ziende kwa mstari nyingine zigzag
Hiyo ni CGI mzee hakuna cha maboresho wala interception. Hiyo ni GCI zinacheza games kama Warthunder na games kibao za Epic.
Ni sawa na kuleta screenplay ya PES ukasema ni mechi ilikuwa live
 
Kuhusu matumizi mi sifahamu , lakini ukitembea Qatar, UAE au Saudia na ukaenda Israel utaona tofauti kubwa ya kimiundombinu, utaona hao arabs walivyoendelea kuliko Israel.

Lakini ukae ukijua tu kuna nchi tajiri na nchi yenye uchumi, Qatar inaizidi utajiri US, lakini US wanaizidi uchumi Qatar.
umechukua sehemu chache za waarabu, ni sawa na kusema Tanzania ni matajiri kwa kuchukua sample ya mitaa ya masaki, upanga na oyster bay.

Waarabu tatizo lao ni wabinafsi ndio maana kuna waarabu kibao maskini, tunaowasifia wana pesa ni hawa wachache waliojimilikisha visima vya mafuta na tunawajua kupitia matumizi yao ya kianasa, murabu unamkuta ana gari 200, ana saa ya mkononi ya bilioni 10, ana simu ya almasi ya bilioni 5, n.k. na hii inachochewa zaidi kwa wao kukosa elimu
.
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Sasa kwanini waneomba kuongezewa misaada ya kifedha kutoka uingereza na marekani?
 
umechukua sehemu chache za waarabu, kiujumla hizo sehemu ni kwa wqarabu wale wachache matajiri, ni sawa na kusema Dar ni matajiri kwa kuchukua sehem za masaki, upanga na oyster bay.

Waarabu tatizo lao ni wabinafsi ndio maana kuna waarabu kibao maskini, tunaowasifia wana pesa ni hawa wachache na tunawajua kupitia matumizi yao ya kianasa, murabu unamkuta ana gari 200, ana saa ya mkononi ya bilioni 10, ana simu ya almasi ya bilioni 5, n.k. na hii inachochewa zaidi kwa wao kukosa elimu
.
Dah aisee ni balaa sana duuh.
 
Sasa kwanini waneomba kuongezewa misaada ya kifedha kutoka uingereza na marekani?
Hata uingereza ikiingia vitani inaweza kuomba Tanzania msaada wa chakula, si kwamba Uingereza haina chakula bali ni kuonyesha ushirikiano wa kuwapa support na kuwaonyesha tupo nao bega kwa bega hata kwa kidogo tulicho nacho.
 
umechukua sehemu chache za waarabu, kiujumla hizo sehemu ni kwa wqarabu wale wachache matajiri, ni sawa na kusema Dar ni matajiri kwa kuchukua sehem za masaki, upanga na oyster bay.

Waarabu tatizo lao ni wabinafsi ndio maana kuna waarabu kibao maskini, tunaowasifia wana pesa ni hawa wachache na tunawajua kupitia matumizi yao ya kianasa, murabu unamkuta ana gari 200, ana saa ya mkononi ya bilioni 10, ana simu ya almasi ya bilioni 5, n.k. na hii inachochewa zaidi kwa wao kukosa elimu
.
Sipo hapa kutetea waarabu wala Israel, vyovyote vile ni sawa, lakini hekaya za kunambia Israel wamekamata mifumo ya fedha sio kweli.

Nikakuambia kuna nchi zina pesa kama hizo za uarabuni, haimaanishi natetea no, lakini nazunumza ukweli, Israel haina uchumi wowote wa kupambana na nchi kama Iran, Russia, China au India. Ni ile mnawapamba sana.

Hii vita tu ya Hamas wameomba msaada dola bilioni 14, Tamir intercepto 1 ya iron dome ni Tshs milioni 125.

Wakai huo Hezbollah wana makombora 150,000 ukijumuisha advanced precision-guided missiles, rockets kiasi hiko hata iron dome haiwezi hilo battle. Thats too much.
 
Kuhusu matumizi mi sifahamu , lakini ukitembea Qatar, UAE au Saudia na ukaenda Israel utaona tofauti kubwa ya kimiundombinu, utaona hao arabs walivyoendelea kuliko Israel.

Lakini ukae ukijua tu kuna nchi tajiri na nchi yenye uchumi, Qatar inaizidi utajiri US, lakini US wanaizidi uchumi Qatar.
Tunazungumzia uwezo wa kivita Aise hao Waarabu toka mwaka 1948 dozi tuu wanapewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisiongee sana
Punguza mahaba kwani hupofusha! Bado unaamini hekaya za Kiyahudi kuwa wao ni taifa teule? Wewe na Tanzania yako je?

Uhalisia ni huu: Huwezi kushinda vita kwa kutumia anga, anga halichukui ardhi, askari wa miguu ndiyo kazi yao!

Umejiuliza kwa nini anachukua muda mrefu kuingia ardhini? Anaingia kwa kustukiza, sababu vita ya ardhini ni ngumu hasa kwa mgeni au mvamizi.

Israel’s allies fear it could be walking into a trap in Gaza as Hamas and its backers seek a wider conflict​

As they watch airstrikes and hot-barreled howitzers pound targets in Gaza, check and recheck their personal weapons, communications and webbing, there can be very few among the thousands of Israeli soldiers poised for combat who don’t quietly wonder: “Is this a trap?”

Hamas, and its backers in Tehran, would have certainly planned to meet a fierce Israeli ground offensive after the terrorizing infiltration of Israel.

Hamas has riddled the Strip with networks of tunnels. It will have laced the landscape above ground with booby traps, and will have plans to meet the IDF with anything from swarms of suicide bombers to snatch teams to take soldiers hostage.

US generals and other officials have been sharing their experiences of urban warfare on a large scale with Israel.

The bomb-making skills of Hezbollah, the Lebanese militant group and close ally of Hamas, have metastasized across the Middle East. In Gaza, Israeli troops will know they face improvised explosive devices built with charges that can cripple a tank. They’ll know that Hezbollah’s abilities to destroy armor will have been further refined since Israel last did serious battle in Lebanon in 2006 and was shocked by the sophistication of the militia.

Hamas now has anti-aircraft capabilities
– Israel’s Apache helicopters providing close support to infantry will be vulnerable to one man with a SAM (surface to air missile).

Analysis by Sam Kiley, Senior International Correspondent, CNN 26/10/2023
 
Israel isipeleke askari wa ardhi pale Gaza, watachinjwa vibaya mno na wengi watachukuliwa mateka.
 
Tarehe 07/10 mlifurahi na kusheherekea Allah akbar Allah akbar kwa vifijo na nderemo.

Leo Allah akbar Allah akbar kwa vilio huku mmebana marinda. 😁😆🤣😅

Israel Kill them all undiscrimately no MERCY
 
Daah KOBAZ kazi kwao
Nyie ndio wale mnafurahia mauwaji ya waislamu

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom