Jionee mwenyewe Yanga na Al hilal nani zaidi? Group stage caf confederation cup 2018

Jionee mwenyewe Yanga na Al hilal nani zaidi? Group stage caf confederation cup 2018

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha wachambuzi wa kibongo
Screenshot_20220925-135721_Chrome.jpg

Screenshot_20220925-135739_Chrome.jpg

Screenshot_20220925-135755_Chrome.jpg

Screenshot_20220925-135810_Chrome.jpg
 
Tufikie wakati tubadilike mashabiki wa Yanga tuwe tunatumia akili kufikiria vitu. Cha kwanza tusitumia nguvu nyingi kuipa udogo au ukubwa Al Hilal wkati mbivu na mbichi karibu itadhihirika bado wiki mbili tu. Halafu cha pili unazunguzia jambo la 2018 hivi ujui kuwa zama zinabadilika? Al Hilal ya 2022 haiwezi kuwa ndio ile ile ya 2018
 
Ni nachoona hapo wote mmeburuza mkia kiufupi kipindi hicho wote mlikua vilaza sema kwa nyakati hizi al-hilal amekataa ukilaza ila nyie utopolo mmeng'ang'ana na ukilaza thay why tunasema utopolo kwa hao wa sudan nyie ni underdog tu na mnaenda kutolewa mchana kweupe
 
Mi naona ametoa mifano isiyo sawa! Mwaka huo, Enyimba kwa mujibu wa ushahidi ulioletwa hapa, ilifanya vizuri, ikiwa na pointi 12 kwenye kundi lao. Lakini leo hii, hao Enyimba, huko kwao ilimaliza ligi ikiwa ya 7. Hivyo, haimo kabisa kwenye hayo mashindano ya CAF. Hao Berkane, nao wamekosa nafasi, tena nao Nchi yao ina nafasi nne.
Nami naamini hao Hilaly hawataitoa Yanga, lakini si kwa kipimo cha matokeo haya!
 
Achana na shirikisho ila club bingwa yanga group stage alifika nikiwa na umri wa miaka minne yani 1998
Na kwa taarifa yako group stage kipindi Ni lazima zibaki timu name tu, yaani 2 groups each with 4 team. Kwa lugha nyepesi Ni quarter final stage.
 
Na kwa taarifa yako group stage kipindi Ni lazima zibaki timu name tu, yaani 2 groups each with 4 team. Kwa lugha nyepesi Ni quarter final stage.
Sawa ila ni 1998 bado yani miaka 24 iliyopita (miongo miwili)[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom