Jionee tofauti ya Wamchangani Vs Wakimataifa

Na bingwa anajulikana msimu wa 4 huu mfululizo.
Yaan mwanangu wa nursery wa miaka 3 hajui chochote juu ya simba na ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.
Bado tunaandaa timu yenye ushindani. SSC.
 
Tofauti ni kuwa wamchangani wanapiga kambi bondeni aka sauzi na wakimataifa wanapiga kambi morogoro
BONGE LA GEPU
simba oyeeeee
Then mwakani kama kawa mnabeba kombe lenu la chupi !
 
Bora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.
Bado tunaandaa timu yenye ushindani. SSC.
Hehee.. 7GB. Cyo poa unaweza kimbia mji

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Siku zote asiyejiamini hupenda kujilinganisha na mtu anayehisi ana mafanikio zaidi yake. Kwahiyo mtoa post uko sahihi.

Arage Jekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…