Jionee tofauti ya Wamchangani Vs Wakimataifa

Jionee tofauti ya Wamchangani Vs Wakimataifa

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
FB_20170728_16_55_09_Saved_Picture.jpg

Sitii neno Mimi....
Nyie wenyewe mng'amue sasa.
 
Na bingwa anajulikana msimu wa 4 huu mfululizo.
Yaan mwanangu wa nursery wa miaka 3 hajui chochote juu ya simba na ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.
Bado tunaandaa timu yenye ushindani. SSC.
 
Bora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.
Bado tunaandaa timu yenye ushindani. SSC.
Hehee.. 7GB. Cyo poa unaweza kimbia mji

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Siku zote asiyejiamini hupenda kujilinganisha na mtu anayehisi ana mafanikio zaidi yake. Kwahiyo mtoa post uko sahihi.

Arage Jekundu.
 
Back
Top Bottom