Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu..ngoja nimuite mmoja OSOKONI njoo hukuNgoja waje uone povu sasa...!
Tofauti ni kuwa wamchangani wanapiga kambi bondeni aka sauzi na wakimataifa wanapiga kambi morogoro
Na bingwa anajulikana msimu wa 4 huu mfululizo.Tofauti ni kuwa wamchangani wanapiga kambi bondeni aka sauzi na wakimataifa wanapiga kambi morogoro
BONGE LA GEPU
simba oyeeeee
Anajua 2 jinsi mnavyokandwa kimataifaNa bingwa anajulikana msimu wa 4 huu mfululizo.
Yaan mwanangu wa nursery wa miaka 3 hajui chochote juu ya simba na ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.Na bingwa anajulikana msimu wa 4 huu mfululizo.
Yaan mwanangu wa nursery wa miaka 3 hajui chochote juu ya simba na ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Then mwakani kama kawa mnabeba kombe lenu la chupi !Tofauti ni kuwa wamchangani wanapiga kambi bondeni aka sauzi na wakimataifa wanapiga kambi morogoro
BONGE LA GEPU
simba oyeeeee
Comment nyingine hazina tijaUtani mwingine hauna tija.
Hehee.. 7GB. Cyo poa unaweza kimbia mjiBora kuandaa timu yenye ushindani kuliko kushiriki kimataifa na kuishia kupigwa 4GB. hadi kupoteana uwanja wa ndege.
Bado tunaandaa timu yenye ushindani. SSC.
Sawa wa kimataifa, naona mmejipumzisha baada ya mazoezi mazito morogoro,