Jionee umaarufu wa Mayele Simba

Jionee umaarufu wa Mayele Simba

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Mayele style imeteka Soka la Tanzania.

Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
 
Attachments

  • 1649776962369.mp4
    464.9 KB
Kwa wachezaji kawaida saana, kuthamini, kuheshimu kile anachofanya mwingine, wachezaji kibao wameshajaribu kushangilia kama CR7.

Mie mshabiki wa simba, sioni kama ni ajabu, kwamba jamaa kaja na kitu tofauti wamekipemda, sisi mashabiki maandazi ndio tunaleta unazi,
Mwanangu home anashangilia kama mayele.
 
Mayele Ana Style Tamu Sana Ya Kushangilia Ni Ngumu Kujizuia Kutoipenda Kwakweli Japo Kuna Watu Wanajifanya Wanakaza Hawaipendi Eti, Wanakwambia Ni Upotezaji Wa Muda Uwanjani Lakini Wakiwa Bafuni Pekeyao Huko Wanaifanya [emoji23]..Siwashangai Baadhi Ya Mashabiki Wa Simba Kuipenda Style Ile Na Kuonesha Wazi Kwamba Wanaipenda... Kudos Mayele![emoji91]
 
Mashabiki wa Simba sio malimbukeni.
mimi shabiki wa Simba naweza kutetema kama Mayele kwasababu mpira ni biashara uwenda kuna siku Mayele akahamia Azam,Namungo au timu yoyote ile ya bongo.kwaiyo akuna sababu ya kuchukia style yake eti kisa yupo Uto.
 
Mayele Ana Style Tamu Sana Ya Kushangilia Ni Ngumu Kujizuia Kutoipenda Kwakweli Japo Kuna Watu Wanajifanya Wanakaza Hawaipendi Eti, Wanakwambia Ni Upotezaji Wa Muda Uwanjani Lakini Wakiwa Bafuni Pekeyao Huko Wanaifanya [emoji23]..Siwashangai Baadhi Ya Mashabiki Wa Simba Kuipenda Style Ile Na Kuonesha Wazi Kwamba Wanaipenda... Kudos Mayele![emoji91]
Huyu jamaa ni mbunifu tukubali.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Hiyo mbon kawaida sana,Mashabiki wa simba hatuwezi kumchukia mchezaji et kwasabab ni fundi wa kufunga na kutetema wakati anatimiza wajibu wake akiwa uwanjani..
Mayele ni fundi Japo anakela kwasabab anavyozid kufunga wanautopolo wanafurahi kitu ambacho wapinzani hatupendi kukiona
Tunaichukia timu ya utopolo ila siyo wachezaji...
 
Na Analijua Goli Jamaa Kama Angeliongeza Umakini Kidogo Golini Saiv Angekuwa Na Magoli Hata 16.
Jamaa anakamiwa sana kuna muda anachezewa rafu mbaya ili atolewe mchezoni hata marefa wanahusika kumpunguza makali unakumbuka mechi ya Geita gold, au azam juzi tu ukiachana na mbeya city aliyonyimwa goli la wazi?
 
Back
Top Bottom