Huyu jamaa ni mbunifu tukubali.Mayele Ana Style Tamu Sana Ya Kushangilia Ni Ngumu Kujizuia Kutoipenda Kwakweli Japo Kuna Watu Wanajifanya Wanakaza Hawaipendi Eti, Wanakwambia Ni Upotezaji Wa Muda Uwanjani Lakini Wakiwa Bafuni Pekeyao Huko Wanaifanya [emoji23]..Siwashangai Baadhi Ya Mashabiki Wa Simba Kuipenda Style Ile Na Kuonesha Wazi Kwamba Wanaipenda... Kudos Mayele![emoji91]
Na Analijua Goli Jamaa Kama Angeliongeza Umakini Kidogo Golini Saiv Angekuwa Na Magoli Hata 16.
Jamaa anakamiwa sana kuna muda anachezewa rafu mbaya ili atolewe mchezoni hata marefa wanahusika kumpunguza makali unakumbuka mechi ya Geita gold, au azam juzi tu ukiachana na mbeya city aliyonyimwa goli la wazi?Na Analijua Goli Jamaa Kama Angeliongeza Umakini Kidogo Golini Saiv Angekuwa Na Magoli Hata 16.