Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Knancho saidia China kufika hapo ilipo ni sera zake za communist na kisocialist, China inamifumo ya kouchumi mitatau ubepari mjini ucomminist vijijini usocialist semi urban areas, India wamwkumbatia ubepari ndo maana masikini ni wengi matajiri wenye uwezo mkubwa wachache.India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Ubepari ni mzuri sana kwenye kutengeneza masikini. Amini Mkuu.Knancho saidia China kufika hapo ilipo ni sera zake za communist na kisocialist, China inamifumo ya kouchumi mitatau ubepari mjini ucomminist vijijini usocialist semi urban areas, India wamwkumbatia ubepari ndo maana masikini ni wengi matajiri wenye uwezo mkubwa wachache.
Dhahili kabisa, ubepari ni wizi, wa wachache dhidhi ya wengi.U
Ubepari ni mzuri sana kwenye kutengeneza masikini. Amini Mkuu.
Ubepari sio wizi ni mfumo sahihi ambao hata Mungu anataka.Dhahili kabisa, ubepari ni wizi, wa wachache dhidhi ya wengi.
Umasikini wa Tanzania ni WA fikra na sio raslimali.India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Upo sahihi kabisa, kwa Sasa India imeshaipiku China kwa idadi ya watu, hata Mila na tamaduni zao za kiasili ni chanzo cha matatizo yao mengi.India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Sio kweli umasikini ni matokeo binafsi ya mtu husika kushindwa kuziona fursa.U
Ubepari ni mzuri sana kwenye kutengeneza masikini. Amini Mkuu.
China ni sera yao ndio nzuri ,wachina walitenga shughuli za mijini na vijijini ...Mijini wamebaki wafanyabiashara wakubwa na wasomi haswa kweny viwanda ,kampuni za tech na uongoziIndia umasikini ni mkubwa sanaaa.