Jionee umasikini ulioko India na jinsi wanavo pambana nao

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Kwa hali kama hi hamna Muhindi inae weza kuja Tanzania na akushindwa kutoboa maisha, watanzania wengi tumedekezwa kazi yetu kulalamika lalamika wakati hi nchi ina fursa za kiuchumi za kutosha kabisa,
 
India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
 
Knancho saidia China kufika hapo ilipo ni sera zake za communist na kisocialist, China inamifumo ya kouchumi mitatau ubepari mjini ucomminist vijijini usocialist semi urban areas, India wamwkumbatia ubepari ndo maana masikini ni wengi matajiri wenye uwezo mkubwa wachache.
 
U

Ubepari ni mzuri sana kwenye kutengeneza masikini. Amini Mkuu.
 
India wengi wanaabudu wanyama kama nyani, ng'ombe, na hata nyoka
Sasa wamekumbatia haya mambo
Na ng'ombe wakipita sikoni wakala kila kitu huwezi kuwakataza maana mungu wao hao
Na nyani hivyo hivyo wanawaacha wale kila kitu
Uchafu ndio umekithiri yaani mhindi atambe bongo tu ila kwao hawezi kuishi hata mwezi
Unategemea watamfikia mchina ambae anapasua miamba na kujenga madaraja kwenye milima ili kukutanisha miji kwa ajili ya maendeleo
 
Dhahili kabisa, ubepari ni wizi, wa wachache dhidhi ya wengi.
Ubepari sio wizi ni mfumo sahihi ambao hata Mungu anataka.
Ubepari ni free will mtu yeyote mwenye akili ruksa kutajirika.
Kuwa masikini ni matokeo ya mtu kutotumia vizuri akili yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Kwani umasikini ni matokeo ya fikra na sio mazingira.
 
China imeendelea kwa Sheria ya kuua,India kaskazini imeendelea
 
India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Umasikini wa Tanzania ni WA fikra na sio raslimali.
Thus wageni wanasema njoo bongo na akili yako tu mtaji utaukuta huku ukifika
 
India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Upo sahihi kabisa, kwa Sasa India imeshaipiku China kwa idadi ya watu, hata Mila na tamaduni zao za kiasili ni chanzo cha matatizo yao mengi.
 
U

Ubepari ni mzuri sana kwenye kutengeneza masikini. Amini Mkuu.
Sio kweli umasikini ni matokeo binafsi ya mtu husika kushindwa kuziona fursa.
Umasikini ni uwezo mdogo wa mbinu za kuchukua pesa toka kwa wengine,Utajiri ni uwezo wa kuchukua pesa Toka kwa wengine
 
India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
China ni sera yao ndio nzuri ,wachina walitenga shughuli za mijini na vijijini ...Mijini wamebaki wafanyabiashara wakubwa na wasomi haswa kweny viwanda ,kampuni za tech na uongozi

Vijijini wametengewa watu weny kipato kidogo ili wafanya shughuli za kilimo, mazao wana soko la uhakika mjini ...China wameweka flow nzuri ya bidhaa kati ya mjini na kijijini hii imesaidia kupata masoko ya uhakika na watu kuweza kujimudu.

India miji mikubwa bado mambo ya hovyo ndio maana usishangae mjini kuona watu wanakimbizana na ng'ombe mjini kabisa..

Wapo sahihi maana kuna kipato unaweza kuishi kijijini ukasave ila mjini utaonekana maskini hata kuweza kukidhi mahitaji muhimu.
 
Back
Top Bottom