Jionee umasikini ulioko India na jinsi wanavo pambana nao

Wahindi wale maskini ukiwaona wanavyopika na kukaangiza huwezi kula misosi yao,wachafu sana
Street food naona wanaongoza kwa uchafu ...Vile vyakula wanasave kweny mitaa yenye maskini wengi ,mazingira machafu.
 
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Na hii ndio raha ya watawala wa Kiafrica
 
Huu huwez kuufananisha na Ethiopia. Ethiopia baba lao
Maisha ya mbwa koko ,unakuta mama kakonda kama njiti ,baba kakonda la njiti na mtoto wao hivyo hivyo na kitumbo kikubwa kama puto na kupauka na kila dalili ya malnutrition
Halafu viongozi na crooks wanaohodhi uchumi wa nchi wanaishi kama wafalme
 
Ubepari sio wizi ni mfumo sahihi ambao hata Mungu anataka.
Ubepari ni free will mtu yeyote mwenye akili ruksa kutajirika.
Kuwa masikini ni matokeo ya mtu kutotumia vizuri akili yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Kwani umasikini ni matokeo ya fikra na sio mazingira.
Sio kweli ,ubepari ni mfumo wa kunufaisha wachache ...Principle kubwa ya ubapari na mfumo wa kidunia angalua 75% ya watu wote wawe maskini .halfu 25% wawe na kipato.

Ina maana ili kufikia hii ndio maana kuna centralized economy kupitia "pesa",hata uwe na mazao utabaki maskini mpaka uwe na uwezo w kuuza na kumiliki pesa .

Miaka ya bartee trade hakuna jamii ilikuwa ilikuwa seperior dhidi ya wenzie , sababu ukiwa na mazao tu unaweza kubadilisha na mtu yoyote yule kwa mda wowote ila uchumi wa sasa pesa kwanza.

Pesa hiyo inaleta kupanda n kushuka kwa thamani ya bidhaa au mazao yao ,shtuka pesa ndio imeleta umaskini..
 
Knancho saidia China kufika hapo ilipo ni sera zake za communist na kisocialist, China inamifumo ya kouchumi mitatau ubepari mjini ucomminist vijijini usocialist semi urban areas, India wamwkumbatia ubepari ndo maana masikini ni wengi matajiri wenye uwezo mkubwa wachache.
Mfumo ambao umefanikiwa kupunguza umasikini ni mfumo wa kiuchumi wanaotumia waarabu hasa gulf na hata nchi za Northern Africa na middle East ,wamejitahidi sana kuondoa aibu ya ufukara na kama isingekuwa issue ya vita hasa baadhi ya nchi za middle east wangekuwa ulaya ndogo ,
Hata Libya Ile ya colonel Gaddafi ilifanikiwa kutokomeza ufukara , walikuwa na mfumo wa kiuchumi unaohakikisha economic welfare ya watu wa kipato cha chini ili kuwasaidia kujikimu kwa vitu kama chakula ,malazi ,matibabu ,mavazi nk
Ni mfumo mzuri
 
Sawa tuwe masikini na tupambane lakini kuwepo kwa usawa ktk maisha. Sio watu wanalipana mamishahara ya kufuru na maposho huku wenzao wapo hoiiiii kimaisha.
 
Mfumo ambao umefanikiwa kuondoa uchumi ni mfumo wa kiuchumi wanaotumia waarabu hasa gulf na hata nchi za Northern Africa na middle East ,wamejitahidi sana kuondoa aibu ya ufukara na kama isingekuwa issue ya vita hasa baadhi ya nchi za middle east wangekuwa ulaya ndogo ,
Hata Libya Ile ya colonel Gaddafi ilifanikiwa kutokomeza ufukara , walikuwa na mfumo wa kiuchumi unaohakikisha economic welfare ya watu wa kipato cha chini ili kuwasaidia kujikimu kwa vitu kama chakula ,malazi ,matibabu ,mavazi nk
Ni mfumo mzuri
Wengi watabisha ila ubepari umeleta gap kubwa sana duniani ...Mfumo wa ubepari ndio umeleta umaskini na unyonge dunia hao jamaa weny huo mfumo hawapo tayari mtu aende kinyume
 
Tatizo la ubepari ni kutengeneza gap kubwa kati ya masikini na tajiri , na ujamaa tatizo lake ni kwamba inatengeza masikini wengi pia na wanasiasa au Makada au wafanyabishara wachache wanaenjoy maisha mazuri ,mfano halisi ni ile China ya mao , USSR ya stallin , Cambodia ya Polpot , Tanzania ya nyerere , Cuba ,North Korea nk
Mfumo mzuri ni ule unatengeneza balance ,Yaani hybrid inayochanganya elements za ubepari na ujamaa na ni mifumo ya nchi nyingi za waarabu .
 
India umasikini ni mkubwa sanaaa.
Heshima kwa Wachina, wako wengi kama India ila sasa wako mbali sana na UMASIKINI ni kiasi kidogo siyo kama India.
Sijui ni siri gani wale jamaa walitumia, ila ndiyo maana walikuwa serious sana ni mwendo wa KUUA tuu maana walisha ona tunapo elekea bila kuwa serious hakuna kitu kitawezekana.
India bado wana lega lega japo kuwa ni nchi yenye uchumi mkubwa sana DUNIANI. Ipo kwenye 10 bora ila inabidi wawaige wachina nini walifanya mpaka kuwa hapa walipo leo.
Tanzania pia kuna umasikini mkubwa sana pia nenda huko vijijini utashuhudia japo tuna rasilimali nyingi, mimi nafikiri ni namna ya kutumia kidogo tunachopata kama kodi kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi bado tupo nyuma sana kwenye hili ndiyo maana umasikini ni mkubwa sana hata hapa Tz siyo kwamba tuna lalamika tuu.
Mla rushwa ua tungekuwa mbali mno
 
Kwa hali kama hi hamna Muhindi inae weza kuja Tanzania na akushindwa kutoboa maisha, watanzania wengi tumedekezwa kazi yetu kulalamika lalamika wakati hi nchi ina fursa za kiuchumi za kutosha kabisa, View attachment 2950607
zaidi ya hayo yote, jivikeni upendo, ni kifungo cha ukamilifu (ukamilifu wote umefungwa kwenye neno upendo). ukimkuta mhitaji na wewe una uwezo wa kumsaidia hata kidogo tu, mpe. Yesu alisema wapeni watu vitu nanyi mtapokea vingi vifuani mwenu, kipimo kikubwa cha kusukwasukwa hata kumwagika.
 
Ulokole usipo angalia vizuri unaweza ukachanganyikiwa, bure ukawa mwehu, sio kila jambo lina tatuliwa na Yesu, hapa tuna jadili uchumi, Yesu hajawahi kua mwana uchumi hakuwahi kufanya biashara hata kumiliki pesa, mambo ya yesu ni ya kiroho uchumi ni practicle sio wa kiroho.
 
Ubepari sio wizi ni mfumo sahihi ambao hata Mungu anataka.
Ubepari ni free will mtu yeyote mwenye akili ruksa kutajirika.
Kuwa masikini ni matokeo ya mtu kutotumia vizuri akili yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
Kwani umasikini ni matokeo ya fikra na sio mazingira.
Sawa sawa tajir😊
 
Ulokole usipo angalia vizuri unaweza ukachanganyikiwa, bure ukawa mwehu, sio kila jambo lina tatuliwa na Yesu, hapa tuna jadili uchumi, Yesu hajawahi kua mwana uchumi hakuwahi kufanya biashara hata kumiliki pesa, mambo ya yesu ni ya kiroho uchumi ni practicle sio wa kiroho.
Alooo.... umempa makavu live
 
Ulokole usipo angalia vizuri unaweza ukachanganyikiwa, bure ukawa mwehu, sio kila jambo lina tatuliwa na Yesu, hapa tuna jadili uchumi, Yesu hajawahi kua mwana uchumi hakuwahi kufanya biashara hata kumiliki pesa, mambo ya yesu ni ya kiroho uchumi ni practicle sio wa kiroho.
Mambo ya Mungu siku zote yameonekana ya kipuuzi na ya wehu, lakini ndio huwa ndio msingi mkuu wa maisha. thread inaongelea wahindi maskini. mimi nilichangia kuwa ukikutana na mtu maskini, na una uwezo kumsaidia, umpe, kwasababu ndio maagizo ya Yesu, tuwape wahitaji, huo ndo upendo, hatuwezi sisi sote tukawa matajiri, wapi matajiri na maskini, wahitaji na wenye navyo. kwahiyo, kama wewe umeamua publicly kumkana Yesu kwamba hana uwezo kuusaidia uchumi wako, basi unaye mwingine wa kukusaidia. ila sisi wenzako tunamhitaji Yesu mno hata katika mambo ya uchumi.

na kwa taarifa tu, hatuandiki hivi kwasababu tunalala njaa, au kwasababu tuna umaskini, hapana, tulishawahi kupambana sana kutafuta maisha kwa kutumia elimu, kwa kutumia ujuzi, kwa connections za watu waliofanikiwa nakadhalika, hatukufanikiwa, hadi tulipofunguliwa mlango wa baraka rohoni na Yesu mwenyewe, ndio huku mwilini degree zetu zikaanza kufanya kazi. unaweza kuwa na kila kitu ukatoa jasho lote, usifanikiwe, ila mtu mwingine hana kile ulicho nacho, hajatoa jasho sana amefanikiwa, kwasababu katika ulimwengu wa roho kuna mpenyo, Yesu aweza kukusaidia hata kwenye mambo yako ya kiuchumi. usimdharau kwamba hawezi kukusaidia, unamhitaji.

Namshukuru Mungu nimekuwa ushuhuda unaotembea, kwamba kabla ya kufunguliwa uchumi wangu rohoni, nilitegemea sana akili zangu na jitihada zangu sikufanikiwa, ila nilipokabidhi degree zangu kwa Yesu anisaidie kuzitumia (tena sio moja), nimeshuhudia kufanikiwa sana katika dunia hii hii.

Mimi namhitaji Yesu katika uchumi wangu, Eeh Yesu endelea kunisaidia kadiri pale unapotaka nifikie, wewe ndiwe wa kunipa uhai na nguvu za kufanya kazi, pia unamzuia yeye anipingaye katika uchumi na maisha yangu, bila wewe shetani angeshakula uchumi wangu na angeshafunga milango yangu ya baraka, NAKUHITAJI YESU, NAKUHITAJI YESU, VIVYO KILA SAA, KILA DAKIKA NA KILA SEKUNDE. WEWE NDIWE MWANAUCHUMI WANGU. Kwa Jina lako takatifu ninaomba, Amen.

nawaasa mnaosoma hapa, msimsikilize huyu jamaa, anaposema Yesu hakuwa mwanauchumi hivyo hamhitaji Yesu katika kumsaidia uchumi wake. Yesu ni zaidi ya Mwanauchumi, yeye ni Mungu, anaweza kukusaidia uchumi wako ukafanikiwa. wala msimdharau.
 
Mimi ukiniambia kwamba Yesu anasaidia kiuchumi wakati wengi wanao shida na kukesha makanisani ni masikini kuliko wanao kesha ba na virabuni vya pombe nta kushangaa sanaa.......mkuu acha religous radiclaism utaheuka tu bure.
 
zamani niliwaza kama wewe, ili macho yalipofunguka, nilijua ukweli usiojulikana na wengi. MBONA mimi nasali, ni mlokole, ila maisha yangu mazuri sana, nina elimu ya kutosha, nimesoma ndani na nje ya nchi, kwa Mkono wa Bwana, nimefika hapa nilipo?

KUMBUKUMBU 8: 17, 18 INASEMA; Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo. 18Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
 
Back
Top Bottom