Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ajira hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mshahara ni wa kinyonyaji kabisa. Let us call a spade a spade, not a big spoon.mkuu SEASON 5 unajua ugumu wa online business?!....post 50 kwa siku?!..
na bado mtu aandike kwa lugha ya kuwateka wateja halafu payment umpe 30k per mwezi?!...
yaani 1k kwa siku?!..
ndio mkuu ni ngumu sana..mkuuu kazi yeyote ni kuridhia kwanza,unapoona tangazo la kazi flani unalisoma kisha unajipima Je naliweza? napata maslahi? ukiona hailipi Unaliacha tu mkuu.
Hamna kazi rahisi na ingekua nyepesi nadhani nina vitendea kazi vyote lakini yamenishinda na uwezo wangu wakulipa ni hiyo 30k ambayo ni 1k kwa siku.
hahahaa halafu post 50 kwa siku na usizimikiwe chaji yan uwe full time na english iwe ya kueleweka hahaha..Harafu Tangazo linasema jiongezee kipato daah...
hahaha et 1k per day af full time management..Huu mshahara ni wa kinyonyaji kabisa. Let us call a spade a spade, not a big spoon.
mkuu SEASON 5 unajua ugumu wa online business?!....post 50 kwa siku?!..
na bado mtu aandike kwa lugha ya kuwateka wateja halafu payment umpe 30k per mwezi?!...
yaani 1k kwa siku?!..
hahaah ni balaa mkuu ukae na PC full day unapauka mdomo halafu jioni unaibuka na buku yako saaafi..Hahaaaaa, haki imebidi nicheke sana, hayupo serious na biashara huyu!
Kwa kazi.aliyoweka at least ilitakiwa 500K kiwango cha chini kabisa
Hahahah anachukulia kitoto kucheza na photoshop kuremba tangazo wale wakuda tu wa insta Tangazo kupostiwa ni 10K-50K tena kwa masaa tu!hahaah ni balaa mkuu ukae na PC full day unapauka mdomo halafu jioni unaibuka na buku yako saaafi..
Hahahaha jamaa ameyumba sana! Kwa hali ya maisha ya sasa hata saidia fundi kwenye banda la kiepe analipwa zaidi ya buku 5 we umkalishe mtu siku nzima kwenye PC umpe buku! I can make more than that kwa kuwa winga tu Kariakoo!😂😂😂This is fnckin cheap labour.
Ni unyanyasaji kulipa hicho kiasi.
We mtoto wachuo eeehh,,Sasa changamkia basi andika msg kwenye PM yake kabla watu hawajakuwahi. Watu kama mimi naweza kuamua kufanya bila hata malipo kwani nina likizo ndefu na connection ya Internet ni 7/24, PC ya kisasa kabisa na speed ya Internet ni 1gbps. Nikiamua nafanya tu ili ku-pass time na kugundua mambo mapya! 🤣 🤣