Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Miaka hiyo 2010 niliwahi msindikiza B-mkubwa wangu kampala ili nipate uzoefu wa biashara zake za nguo,nilikuwa bado secondary,now Jamaa zangu wanapiga dili safi na chafu huko,wa hadi vitambulisho vya Uraia vya Ug.

Vipi na ww kupiga hizo dili mkuu?au uko pazuri zaidi
 
Kampala imebadilika sana siku hizi. Tofauti na early 2000s wakati tunasoma huko. But all in all kama sio mjuzi wa machimbo ya vitu au places kuwa mpenzi mtazamaji zaidi kuliko muongeaji hasa kiswahili. Watakunyoosha.

Umenikumbusha mbali Kireka bweyogerere nakawa kikoni bwaise (kwa masela) bugolobi kwa watoto wa kishua mengo nakasero natete nalya lugogo arua park mukono namanve seeta dah kitambo sana
 
Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
 
Enzi hizo ukisikia mwana anasoma Uganda ilikua bonge ya flag😅!..
 
hongera sana samahani hv nikiwa na mtaji wa laki 6 ya tz nikiingia Ug si mtaji tosha huko
 
Huku nusu uchi ni fasheni watu wapo very polite, hawana makelele hata ukipanda vipanya vyao level seat wanajua, customer care balaa, ila sasa miji yao imekaa kishamba sana wanasema tembea uone huku bara bara nzuri ni ya kwenda Entebe airport tu zingine zote hovyo Na hiyo ni vile ni toll road tu ingawaje hawajaanza kulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…