Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Boda wa ug ukiongea kiingereza wanajua ww ni wa kuja lazima upigwe bei, wali wanaita mchele, ugali wanaita kaunga

Chakula bila matooke/ndizi bado hakijatimia
 
Mtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.

Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.

Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.

Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.

Experience 2019.
 
Naomba kuuliza hizi kadi za manjano, yellow card zinapatikana kupitia hatuanzipi na gharama za kupata yellow card ni shilingi ngapi?
 
@Hasmoir,mkuu inaonekana ni mzoefu sana huko Ug hivi kwa sasa unapatikana Ug au Tz
 
Utakapovuka mtukula tu nework haipo Utaenda masaka town na miji mingine kabla ya Kampala. Utakapoongea kiswahili tu urafiki Kwa wenyeji utapungua wakiamini ni Mwanajeshi Kwa sababu wanajeshi lugha yao kuu ni Kiswahili.Maisha tofauti si saana na ya Kitanzania tambua tu sisi East Africa ni Sawa mambo mengi
 
Ongezea naja... Kikoni..kawempe..kithende..bees club.. Gateway park. Banda..
Kampala imebadilika sana siku hizi. Tofauti na early 2000s wakati tunasoma huko. But all in all kama sio mjuzi wa machimbo ya vitu au places kuwa mpenzi mtazamaji zaidi kuliko muongeaji hasa kiswahili. Watakunyoosha.

Umenikumbusha mbali Kireka bweyogerere nakawa kikoni bwaise (kwa masela) bugolobi kwa watoto wa kishua mengo nakasero natete nalya lugogo arua park mukono namanve seeta dah kitambo sana
 
Boda wa ug ukiongea kiingereza wanajua ww ni wa kuja lazima upigwe bei, wali wanaita mchele, ugali wanaita kaunga

Chakula bila matooke/ndizi bado hakijatimia
Ongezea na binyebwa na butunda maisha ya Uganda raha sana ukijuwa jinsi ya kuya ishi daah
 
Mzee safi sana yan umenkumbusha mbali sana hzo early 2000s kitu cha kampala nakumbuka nlkua napanda sana Spider na Akamba coach bt cjui kama bado zpo.........maisha ni safari kwa kwel...karibun gabs botswana tupo tunapambana huku
Asee ni vipi? Gabs Mkuu wanahitaji nini zaidi ili uweze kusurvive pande hizo..?changamoto za mgeni n zipi?
 
Mtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.

Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.

Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.

Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.

Experience 2019.
Hii chakula inaitwa Chikomando. Ni mchanganyiko wa vyakula kibao.
 
Back
Top Bottom