Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Nataka nikafunge mizigo miwili
1:sandals za mtumba za kiume kutoka Italy
2:Nguo za watoto za mtumba
Mizigo hii yote iwe grade1
Je mil3 nitarudi na mzigo wa maana kweli na ukanilipa?
Msaada wenu wa mawazo ndg zetu
mlioenda huko.
 
Yes chukua maamuz
 
Mtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.

Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.

Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.

Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.

Experience 2019.
inaonesha maambukizi pia yapo juu eeh mana kila mtu aloenda uganda anasema wadada wa kule mapaja nje nje sana
 
Uganda maisha sio mepesi kama tunavyoaminishwa humu jf, japo kuna unafuu katika bidhaa. Waganda wenyewe ni wazuri katika kuikimbia nchi yao. Wapo wengi sana Bukoba, Mwanza na Dar kiasi. Wanapenda South Africa, Middle East Ulaya na Marekani... Uzuri wao wanajua kusaidiana nje.

Hivyo anayejipanga kwenda huko, iwe ni kwa kufuata bidhaa na kurudi, sio kuishi.
 
Ni kweli yapo juu wanatuzidi sisi, na la kusikitisha zaidi biashara ya ukahaba inafanywa kwa uhuru yani hawasumbuliwi na polisi, saa 2 washajipanga barabarani, ni hatari sana ule mji.

Kuna siku nipo barabaran mida ya saa tatu usiku wakapita polisi wakiwa na mbwa halafu mbele yao kuna wadada poa wanesimama wanasubiri wateja, nilishangaa kuona polisi wanawapita bila kuwafanya chochote.

Kuna mwenyeji akaniambia hawa hawafanywi kitu tena wewe uliyemnunua kama utaamua kutompatia chake huwa wanaungana na wanakuitia polisi unalipa pesa na unawekwa ndani.
In short ni mji hatari sana hakuna maadili kabisa.
inaonesha maambukizi pia yapo juu eeh mana kila mtu aloenda uganda anasema wadada wa kule mapaja nje nje sana
 
Ni kweli yapo juu wanatuzidi sisi, na la kusikitisha zaidi biashara ya ukahaba inafanywa kwa uhuru yani hawasumbuliwi na polisi, saa 2 washajipanga barabarani, ni hatari sana ule mji.

Kuna siku nipo barabaran mida ya saa tatu usiku wakapita polisi wakiwa na mbwa halafu mbele yao kuna wadada poa wanesimama wanasubiri wateja, nilishangaa kuona polisi wanawapita bila kuwafanya chochote.

Kuna mwenyeji akaniambia hawa hawafanywi kitu tena wewe uliyemnunua kama utaamua kutompatia chake huwa wanaungana na wanakuitia polisi unalipa pesa na unawekwa ndani.
In short ni mji hatari sana hakuna maadili kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio luwum street hiyo kulipokuwa sax pub zamani. Njia ya kwenda tax park.
 
Cjawah kuchange rate hiyo 1.57,56,58 ukichange mpakan ndo majanga yenyewe hayoo
Ni.kweli kabisa kukaa kwangu kote uganda sijawahi kuchange rate zaidi ya 1.6. Ni 1.58 kushuka chini ndo maana nlkw natembea na USD maana rate yake haichezi chezi kijinga. Ukitembea na KSH balaa wakati shule zinafunguliwa rates zinapungua.
Dah nlkw najua chimbo ya bureau zenye rate nzuri wacha kabisa. Kuna moja the best nmesahau jina lake ilikuwa ya wasomali jina nimesahau maana kitambo sana.
 
Sio biashara house hapo mtaa ulio kuwa na wasudani wengi sana ule
 
Back
Top Bottom