Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Ameshafika na amerudi salama bila shaka.Uwe unasoma post za nyuma na wewe.Umeshafika...?
Yes chukua maamuzNataka nikafunge mizigo miwili
1:sandals za mtumba za kiume kutoka Italy
2:Nguo za watoto za mtumba
Mizigo hii yote iwe grade1
Je mil3 nitarudi na mzigo wa maana kweli na ukanilipa?
Msaada wenu wa mawazo ndg zetu
mlioenda huko.
Cjawah kuchange rate hiyo 1.57,56,58 ukichange mpakan ndo majanga yenyewe hayoo
100000 tsh{Kwa wale wamcha Mungu ni mtihani, nimependa hii sentensi}
hivi nauli ya kutoka dar mpaka kampala ni sh ngap?
Kuna sehemu inaitwa wankulukukuHaya maneno kwa kiswahili unaweza jikuta umetukana tusi
inaonesha maambukizi pia yapo juu eeh mana kila mtu aloenda uganda anasema wadada wa kule mapaja nje nje sanaMtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.
Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.
Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.
Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.
Experience 2019.
Tayari niko home Tanzania nimerudi salama nikitulia nitajaribu kushare experience ndogo niliyoipata huko
Hyo yellow card napataje mkuu?EAC&SADC easy kusafiri
Rwanda, andaa tu yellow vaccination card, ppt na pesa yako tu. Maisha ya mwafrika ni yale yale tu
inaonesha maambukizi pia yapo juu eeh mana kila mtu aloenda uganda anasema wadada wa kule mapaja nje nje sana
[emoji23][emoji23][emoji23] sio luwum street hiyo kulipokuwa sax pub zamani. Njia ya kwenda tax park.Ni kweli yapo juu wanatuzidi sisi, na la kusikitisha zaidi biashara ya ukahaba inafanywa kwa uhuru yani hawasumbuliwi na polisi, saa 2 washajipanga barabarani, ni hatari sana ule mji.
Kuna siku nipo barabaran mida ya saa tatu usiku wakapita polisi wakiwa na mbwa halafu mbele yao kuna wadada poa wanesimama wanasubiri wateja, nilishangaa kuona polisi wanawapita bila kuwafanya chochote.
Kuna mwenyeji akaniambia hawa hawafanywi kitu tena wewe uliyemnunua kama utaamua kutompatia chake huwa wanaungana na wanakuitia polisi unalipa pesa na unawekwa ndani.
In short ni mji hatari sana hakuna maadili kabisa.
Ni.kweli kabisa kukaa kwangu kote uganda sijawahi kuchange rate zaidi ya 1.6. Ni 1.58 kushuka chini ndo maana nlkw natembea na USD maana rate yake haichezi chezi kijinga. Ukitembea na KSH balaa wakati shule zinafunguliwa rates zinapungua.Cjawah kuchange rate hiyo 1.57,56,58 ukichange mpakan ndo majanga yenyewe hayoo
hongera sana samahani hv nikiwa na mtaji wa laki 6 ya tz nikiingia Ug si mtaji tosha huko
Sio biashara house hapo mtaa ulio kuwa na wasudani wengi sana uleNi.kweli kabisa kukaa kwangu kote uganda sijawahi kuchange rate zaidi ya 1.6. Ni 1.58 kushuka chini ndo maana nlkw natembea na USD maana rate yake haichezi chezi kijinga. Ukitembea na KSH balaa wakati shule zinafunguliwa rates zinapungua.
Dah nlkw najua chimbo ya bureau zenye rate nzuri wacha kabisa. Kuna moja the best nmesahau jina lake ilikuwa ya wasomali jina nimesahau maana kitambo sana.
Hapana ilikuwa maeneo ya monalisa[emoji23][emoji23][emoji23] sio luwum street hiyo kulipokuwa sax pub zamani. Njia ya kwenda tax park.