Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Eat More,


Sasa hv kuna baadhi ya sehemu jaman wanachakachua...wanakaanga wale wakavu....yaan nchi hii😅!binafsi nimeacha kuwanunua...
 
Eat More, Nimewaona ila kidogo uku jamii ya samaki inauzwa kwa bei kubwa kwa sababu uvuvi umekua controlled na jeshi.
 
Haya ukifika kahama uje club chillers tuzipunguze kidg hizo hela😎! Nipo hpa nimejaa tele😎😋😋!jokes aside.. Kila la heri mzee baba!
Hahaha Uwii umenifanya nikuangaze Aisee leo j3 hapana Fujo Nipo nagonga Jambo yangu kubwa
 
Karibu sana Kampala, uku daladala tunaziita taxi, usafiri wa haraka ni wa kutumia bodaboda. Tulikuwa na kamvua kananyesha ila siku mbili tatu hizi ni kukavu.
Usiache kufika maeneo ya Arua park kuna wabongo wengi wanaweza kukusaidia usikutane na matapeli
Hao matapeli wapo kwa njia ipi madukani au Lodge 😁
 
Back
Top Bottom