Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Jamani hapo border napitaje na passport sina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv hamnaga zile temporary permit pale mpkani,maana naona ishu ya passport imekuwa ngumu sana sshv.
Wewe jamaa hiyo limbwata waliyokupa ccm ni kali sana!Bora Wewe unajituma kutafuta
Kuna wabwekaji humu mtandaoni kazi yao kutukana serkali tu wamejifungia Ndani kama mwali hawajishughulishi
Waganda bwana!Ela yao elfu 10,000 wanaita Mtwaro.
Elfu 7-Lusamvu
Elfu 1-Lukumi
Chanjo ya homa ya manjano!yellow vaccinaction ndo nin mkuu..ppt nayo ni nin
Uganda maisha sio mepesi kama tunavyoaminishwa humu jf, japo kuna unafuu katika bidhaa. Waganda wenyewe ni wazuri katika kuikimbia nchi yao. Wapo wengi sana Bukoba, Mwanza na Dar kiasi. Wanapenda South Africa, Middle East Ulaya na Marekani... Uzuri wao wanajua kusaidiana nje.
Hivyo anayejipanga kwenda huko, iwe ni kwa kufuata bidhaa na kurudi, sio kuishi.
Kamanda mpambanaji uko njema ila tujulishe kila hatua [emoji16][emoji16][emoji16]Habarini za jioni,
Baada ya kufuatilia uzi kuhusu biashara kutoka Uganda leo nimeamua kuianza safari kwa vitendo.
Mfukoni niko na Card ya Yellow Fever nauli na ATM Card yangu, Sina Passport, hii ni baada ya kwenda Uhamiaji na kushauriwa kwenda mpaka mpakani na pale nitapata Pass Border.
Nitakuwa na share kila kitu katika safari hii.
NB: Ndo safari yangu ya kwanza to Uganda (Mungu anisaidie)
duh asee hatareeNi kweli yapo juu wanatuzidi sisi, na la kusikitisha zaidi biashara ya ukahaba inafanywa kwa uhuru yani hawasumbuliwi na polisi, saa 2 washajipanga barabarani, ni hatari sana ule mji.
Kuna siku nipo barabaran mida ya saa tatu usiku wakapita polisi wakiwa na mbwa halafu mbele yao kuna wadada poa wanesimama wanasubiri wateja, nilishangaa kuona polisi wanawapita bila kuwafanya chochote.
Kuna mwenyeji akaniambia hawa hawafanywi kitu tena wewe uliyemnunua kama utaamua kutompatia chake huwa wanaungana na wanakuitia polisi unalipa pesa na unawekwa ndani.
In short ni mji hatari sana hakuna maadili kabisa.
Kwa Mimi hapo kwenye mtumba nitakudanganya ila Zingatia sehemu unayotoka mfano watu wa Dar to Kampala Nauli ni 110,000/= ukikata moja kwa moja lakini ukiunga ni around 75-80 mpka KampalaNataka nikafunge mizigo miwili
1:sandals za mtumba za kiume kutoka Italy
2:Nguo za watoto za mtumba
Mizigo hii yote iwe grade1
Je mil3 nitarudi na mzigo wa maana kweli na ukanilipa?
Msaada wenu wa mawazo ndg zetu
mlioenda huko.
Muhimu sana ukifika Uganda Jitahidi kupata hotel yenye Wi-Fi kidogo utarahisisha mambo yako na kuna hotel bei ni 25,000/= ya kibongo ya kiganda ni 40,000/= pale unapata Wi-Fi na breakfast asubuhi .so ukienda mizunguko cm inakua ya kupigia Picha tu au kuangalia muda au calculatorKamanda mpambanaji uko njema ila tujulishe kila hatua [emoji16][emoji16][emoji16]
Muhimu sana ukifika Uganda Jitahidi kupata hotel yenye Wi-Fi kidogo utarahisisha mambo yako na kuna hotel bei ni 25,000/= ya kibongo ya kiganda ni 40,000/= pale unapata Wi-Fi na breakfast asubuhi .so ukienda mizunguko cm inakua ya kupigia Picha tu au kuangalia muda au calculator
Fuatilia comments hapa au ukiuliza swali nitakujibuKwani mitandao yao haina Data?
Mbona mleta mada hujatueleza vizuri kuhusu hiyo Kampala?