Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

Wewe mzee sema wateja wamekuja sana leo kilingeni kwahiyo nyama ziko za kutosha pamoja na kibuyu kimejaa pesa
 
Nakuwa busy kwa masaa mawili kati ya nane ya kazi
Nitakushauri kwa uwezo wangu pengine ukapona kipenzi iko hivi

Kila kitu kinaanzia ndani yako mwenyewe akili yako inaaminisha ubongo wako kua huwezi kua mbali na simu yako kwamba kuna kitu uta miss

Kwahiyo sasa anza kushughulisha ubongo wako kwa vitu vingine ili uache kukalili jambo moja mda wote

Mf: toka njee ya office yako simu iache ndani kaa seheme ya utulivu na uangalie mazingira
Mfano watu wanavyo move kutoka eneo hili kwenda lingine
Au magari yanavyopishana

Kama kuna bustani ya maua angalia tembea tembea kidogo

Siku za weekend jumuika na hata mtu mmja piga nae story sio lazima ziwe story za kukuhusu

Inshallah utakaa sawa kila la kheri Mmasai wa mjini
 
Nakunywa zangu kili lager,,,
Kibaridi flani hivi huku kijijini!!!! Nasubiri kenge aje maana nilisha mjegesha vya kutosha. Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.
Good evening
 
Kuna fundi furniture alitaka kunialibia jioni yangu. Nimempa kazi ya kutengeneza shelf la viatu niweke dukani kwangu. Nimepita jioni ofisini kwake kwake kazi haijaisha wakati jumamosi wakati nampa kazi aliniambia baada ya siku mbili itakua tayari.

Nimepita bar kucheza pooltable na washkaji na kumwagilia moyo mdogo mdogo wakati nasubiri game ya psg vs bayern munich ndio furaha imerudi.
 
Old bongo fleva: Tabasamu by Bush baby
Your browser is not able to display this video.
 
Ahsante sana Mkuu. Nitajitahidi
 
Nakunywa zangu kili lager,,,
Kibaridi flani hivi huku kijijini!!!! Nasubiri kenge aje maana nilisha mjegesha vya kutosha. Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.
Good evening
Hapo kwenye kuliwa πŸ˜‹
Huyo kenge hana rafiki yake unipasie kama mayeleπŸ˜πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nakunywa zangu kili lager,,,
Kibaridi flani hivi huku kijijini!!!! Nasubiri kenge aje maana nilisha mjegesha vya kutosha. Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.
Good evening
Kwa hiyo mi Nina Raha maana uhakika wa kula , kuliwa na kumwaga Tena.πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…