Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

Unasema kweli ๐Ÿ˜†

Hakunaaa bana mie wa hivi sitaki
We kuweza stress deilee nooo

Enheeeee si ndiooo
Niunge ila sasa kakosa kila kitu six pack kiuno kama dondola
Ila sasa ๐Ÿ˜‰ walau yaliyomo yawemooo๐Ÿคญ
Hana hivyo vigezo vya genz !!!!!! Pesa dada million kwake kama elfu kumi. Yaani silent killer kama smart vile
 
Mbali wapi??!!! Pression na air Tanzania zimekufa????
Machine nzima imara sio ya kuweka girisi wala kuombea kwa mwambosa.
Kibunda sio cha mawazo nikuunge???
Kibunda kipo ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Machine nzima ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Heb chap niuunge
 
Wewe jamaa utaishi maisha marefu sana. Kwa sababu unaishi maisha halisi sana kama ilivyo kwa shemeji yangu Pascal Mayalla. Hamjawahi hata siku moja kufake life. ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ