Kama humjui mizengo pinda waziri mstaafu alie lia bungeni basi wewe si mtanzania!!!!!! Ukamatwe na wasio julikana na upoteee!.🤣🤣🤣🤣
Pm ndio wapi huko sasa mahi
Au😁Au siyo... hahaha uhakika...
Nime import manzi hapa naishubirii hapa nakula pombe kali .. naifikiche kisawa kisawa 😁😁😁Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!!
Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama unalazimisha.... huwa linadanganya ubongo wako na kutoa homoni za furaha (endorphins) ambazo hupunguza msongo wa mawazo??
Hivyo, jaribu kutabasamu kidogo sasa hivi.. Tabasamu hilo linaweza kubadilisha hali yako ya jioni kabisa!
Tabasamu sasa... Mimi nimetabasamu😀View attachment 3580964
Tate Shebughe 💪🏿🔥 Tate Mkuu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Wewe jamaa utaishi maisha marefu sana. Kwa sababu unaishi maisha halisi sana kama ilivyo kwa shemeji yangu Pascal Mayalla. Hamjawahi hata siku moja kufake life. 😁
Wewe jamaa utaishi maisha marefu sana. Kwa sababu unaishi maisha halisi sana kama ilivyo kwa shemeji yangu Pascal Mayalla. Hamjawahi hata siku moja kufake life. 😁
Mi namjua Kasim sio Kasim mganga lakini 😀Ka
Kama humjui mizengo pinda waziri mstaafu alie lia bungeni basi wewe si mtanzania!!!!!! Ukamatwe na wasio julikana na upoteee!.
Hizi picha sijui unatoa wap wallah😀
Naelewa sasa kwanini wanaume tunaitwa mbwa, manzi imegoma kuja nikafunga safari kutoka kigamboni hadi kibaha picha ya ndege.. mda huu ndio narudi nayo mjini 😂😂Kama shetani angejua zambi ni tamu kiasi hiki angetubu mapema asubuhi😂View attachment 3581017View attachment 3581018
Ni motoo🔥Kwenye database yangu😀