Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000)
Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na shirika la ndege na msimu)
Gharama za hoteli angalau standard Tsh 65,000 ( 910,000) ukikaa week mbili tu.
Nauli ya kwenda masokoni kwa Tax maana mara ya kwanza kama huna mwenyeji huwezi tumia daladala wala Metro maana hujui ( Tsh 30,000 kila siku) 420,000 kwa siku 14 hapo umezunguka mizunguko ya masokoni wala sio kwenda viwandani.
Chakula. Tuseme umejibana sana ukawa unakula mlo mmoja tu kwenye migahawa ya Kiafrika ( 20,000 kila siku sawa na 280,000 siku 14)
Laini ya China pamoja na vocha tuseme na emergency yoyote 90,000. ( laini na vocha ni gharama zaidi)
Bado kuna gharama za kulipia usafiri wa bidhaa kutoka China, kutoa mzigo bandarini ukifika Tz na kumbuka hujui masoko na hakuna atakayejitolea kukutembeza au kukuelekeza bure . Hapo kwenye milioni kumi zako utakua umebaki na milioni 5 tu ya kununua mzigo
.
Sasa wote tuongee ukweli Kibiashara. Kwenye hiyo milioni 5 ndo ununue bidhaa na kusafirisha ikurudishie faida na kuna rungu la kodi linakusubiri kuutoa mzigo bandarini Tz ?
Kawaida pia china ukiwa na mtaji mdogo bidhaa utanunua bei ya juu kidogo na masokoni sio viwandani. Kwaio kwa mtaji wako wa chini ya Milioni tano ya bidhaa maana yake utanunua bidhaa chache mbazo hata ukirudi ukauza hautarudisha gharama ulizotumia Ukiachana na faida.
Ushauri wangu. Weka mipango ya kuja China lakini ukuaji wa Biashara yako na mahitaji ndio yaamie uje lini. Kama biashara yako bado ni ndogo na mtaji bado ni mdogo subiri ukue.
Na kama unaona hizi gharama ni kubwa ujue muda wako bado lakini kumbuka muda wako utafika.
Kama una mtaji mdogo hata kama ni laki 5 mbadaka ni kuagiza kupitia mitandao mikubwa kama Alibaba, Made in China, n.k. muuzaji atasafirisha mzigo kwenye ofisi za makampuni kama Silent Ocean zilizopo China kisha wao utawalipa wakuletee mzigo Tz. Ubaya ni kwamba ni gharama zaidi kununua vtu kwa mtaj mdogo, pia hutaweza kukagua na kutesti bidhaa kama mtu alieenda huko.
Kuna mitaa ya Guangzhou wamejaa wakinga, hio ni advantage kubwa sana, wamepelekwa huko na ndugu zao wenye maduka kutafuta machimbo, kuwakagulia bidhaa, connections, kusimamia usafirishaji, n.k. Kuna fashen mpya inatrend ya kiatu cha laki, Hicho kiatu kitasafirishwa kwa ndege hadi China, kitapelekwa kiwandani kutoa copy za kutosha za bei chee.