Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

Aaani sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana

Na dawa ikipatikana utasikia ilitabiriwa pia

Hivi watu wanajua tauni ilivyoua watu kwenye 1000's

Aaani human bhana [emoji23]

We are somehow stupid creatures ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea kutaja alietabiri,umesema ni mashahidi na ni wataalamu wa afya.

Mbona mm nimesoma bila kuangalia itikadi yangu,kwann waafrika hapendi kudadisi mambo? Ukipewa kitu kabla ya kujua faida na hasara yake unaanza kumtukana aliekupa?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU

View attachment 1400144

Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa

Ngoja nione ni wangapi wataisoma[emoji848]

Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa

https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
Nini kinafanya uamini kuwa makala hiyo imeandikwa zamani? Haizekani mtu akawa ameindika jana aka screen shot na kuweka hapo ulipoichukua?

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yan saiv naelewa kwanin tulitawaliwa na wazungu....
Nini kinafanya uamini kuwa makala hiyo imeandikwa zamani? Haizekani mtu akawa ameindika jana aka screen shot na kuweka hapo ulipoichukua?

Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU

View attachment 1400144

Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa

Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔

Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa

https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
sawa wote tutakufa siku moja so kama tutakufa kwa pamoja nayo sio mbaya sana kwani nn cha ajabu wote iko siku tutaachana na hii dunia mkuu usiogope sana ni njia wote tunapita tu hatuna namna
 
Back
Top Bottom