Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Umekosea kutaja alietabiri,umesema ni mashahidi na ni wataalamu wa afya.
Mbona mm nimesoma bila kuangalia itikadi yangu,kwann waafrika hapendi kudadisi mambo? Ukipewa kitu kabla ya kujua faida na hasara yake unaanza kumtukana aliekupa?
Acha kutisha watu.UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU
View attachment 1400144
Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa
Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔
Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa
https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
Acha kutisha watu.
Si mlisema mwisho wa dunia ni 2020
Nini kinafanya uamini kuwa makala hiyo imeandikwa zamani? Haizekani mtu akawa ameindika jana aka screen shot na kuweka hapo ulipoichukua?UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU
View attachment 1400144
Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa
Ngoja nione ni wangapi wataisoma[emoji848]
Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa
https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
Nini kinafanya uamini kuwa makala hiyo imeandikwa zamani? Haizekani mtu akawa ameindika jana aka screen shot na kuweka hapo ulipoichukua?
Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
sawa wote tutakufa siku moja so kama tutakufa kwa pamoja nayo sio mbaya sana kwani nn cha ajabu wote iko siku tutaachana na hii dunia mkuu usiogope sana ni njia wote tunapita tu hatuna namnaUKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU