Jipatie balo za mitumba quality grade one Kwa bei poa

Jipatie balo za mitumba quality grade one Kwa bei poa

Jacky collection

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,238
Reaction score
484
Habari wanaJf tunauza balo za mitumba Aina zote quality Sana Kwa bei poa kabisa uhakika WA kurudisha ela yako mara mbili ni 95%.
Balo zetu ni zakutokea;
-UK, Dubai, China, Canada na Korea

Tunapatikana Changombe veta Dar es salaam tunapatikana Kwa simu 0692436124

Balo tulizonazo ni kama ifuatavyo;
✓Balo la skirt ndefu tupu Dubai pc 120 bei 550,000
✓skirt mchanganyiko pc 100 bei 300,000
✓Sweta za watoto 330,000
✓Nguo za watoto za baridi(Korea) kg 90 pc350-400 bei 380,000
✓Nguo za watoto nzito pc 180-200 bei 230,000
✓ Nguo za watoto premium Dubai pc 350 mpk 400 bei 830,000
✓Track nzito wakubwa from UK pc 90 mpk 95 bei 380,000
✓men jeans UK 780,00
-Dubai 530,000
-china 480,000
✓kadeti za Dubai pc 100 bei 780,000
✓koti za baridi wakubwa kg 60 pc 100 bei 420,000, kg 45 bei 320,000
✓Balo la viatu UK pair 180- 200 bei 830,000, balo la Canada bei 880,000
✓Balo la Taiti nzito Canada pc 180 bei 480,000
✓Office pant pc 200 bei 420,000
✓Balo la pochi Dubai pc 45- 60 390,
✓Balo la dog dog mix kike na kiume grade one pc 130- 150 bei 330,000
✓Balo la gauni China pc 120 bei 380,000
✓Canada jeans pc 100 grade 1 bei 780,000, grade 2 480,000
✓Silk blauzi (shifoni) Dubai bei 430,000
Sample za mabalo jionee mwenyewe Kwa comments
Tunatuma mzigo mikoa yote Kwa uaminifu mkubwa
Tupe Oder mapema tajiri mizigo haikai tupigie simu ;0692436124

Karibu sana 🙏

IMG-20240626-WA0079.jpg
IMG-20240626-WA0065.jpg
IMG-20240626-WA0078.jpg
 
Nikiuza napata faida kiasi gani
Piga hesabu bei ya balo na idadi ya zilizopo mkuu mfano balo la nguo za watoto pc 350 bei yake ni 380,000 unapiga 380,000/ 350 unapata bei ya Hy nguo Kwa jumla hivyo hapo utaweka wewe faida yako na nguo ya mtumba ukitaka uone ela ipe thamani ukiacha wateja ndo wakupangie bei itakukata, panga bei yako vizuri. Yan ukikata balo lako sort nguo zako mafungu mawili unaweza kukuta pc km 200 ndo grade haswa ukauza 2000, mpk 3000 hizo ndo za kurudisha mtaji nguo zilizobaki za kawaida ndo faida yako unaweza kuuza buku buku na nimekupa mfano mzuri wa balo za nguo za watoto zinatoka Sana ni hvy hvy hata balo nyinginezo, Ila Kwa grade tunazouza boss faida ni uhakika karibu sana
 
Mimi niko mkoani nikaagiza mzigo ila baada ya kufika nikakuta mambo tofauti hapo inakuwaje?.
Mfano nimelipia mzigo grade one kisha nakutana na grade two au nimelipia najua kuna 100pcs ila nikifungua nakutana na 80pcs?
Boss mizigo ndo maan tunaweka na idadi hp inakua Lbd 180 mpk 200 au 200 mpk 250 tumeanza kukata mizigo MDA mrefu tunajua brand znazotoa vzr na ndo maan kuna grade 1 na 2 hatuwez kukupa grade 2 wkt umelipia 1 Hy biashara hatufanyi kaz kipimo cha Utu tunapenda kutengeneza uteja WA MDA mrefu c Bora umeenda na balo nyingi tu wateja wanafungulia hp hp ofisn ndo maan unaona Hz sample grade one ni one kwl mkuu. Wamkoani tunaofanya nao kaz hawajawah kukuta tofaut kbs.
 
Boss mizigo ndo maan tunaweka na idadi hp inakua Lbd 180 mpk 200 au 200 mpk 250 tumeanza kukata mizigo MDA mrefu tunajua brand znazotoa vzr na ndo maan kuna grade 1 na 2 hatuwez kukupa grade 2 wkt umelipia 1 Hy biashara hatufanyi kaz kipimo cha Utu tunapenda kutengeneza uteja WA MDA mrefu c Bora umeenda na balo nyingi tu wateja wanafungulia hp hp ofisn ndo maan unaona Hz sample grade one ni one kwl mkuu. Wamkoani tunaofanya nao kaz hawajawah kukuta tofaut kbs.
Nimechukua mawasiliano
 
Back
Top Bottom