Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Hapa ni bei labda mkuu alimaanisha ila VAT ya POSTA sawa na K/KOO na MBAGALA na hata KOLOMIJE (18%)Duka gani pale Mkuu?
Na Maduka ya Posta VAT yake "iko juu" kuliko VAT ya kariakoo kaka 😀😀
Hapa ni bei labda mkuu alimaanisha ila VAT ya POSTA sawa na K/KOO na MBAGALA na hata KOLOMIJE (18%)
Nalijua hilo Wakuu,VAT ni asilimia 18 sehemu yoyote kwahiyo haiwezi kuwa chini sehemu fulani na kuwa juu sehemu nyingine.
Bei ya bidhaa ndio ina determine VAT yake iwe kiasi gani.
Mfano ukinunua bidhaa ya shilingi 300,000 VAT yake haiwezi kuwa sawa na VAT ya bidhaa ya shilingi 100,000
Hizo air cooler ni mpya au used na je ni unazo brand gani? na maji unaweka lita ngapi?maji unaweka yakawaida umeme inatumia kama wa feni yakawaida tcl smart bei 520,000
kama hii hatuna mangi
Mkuu nina 300k hili friji
Fridge Boss mlango mmoja
nzuri na ya kisasa
ina pooza na kugandisha haraka
price 385,000
mangi hiyo bei iko chini sana labda upunguze bei uchukue kadogoMkuu nina 300k hili friji
hizo hatuna mangiMimi nataka box za kuflashi simu zipo?
Printer mnazo?
Fridge Boss mlango mmoja
nzuri na ya kisasa
ina pooza na kugandisha haraka
price 385,000
TCL bei 900,000
starx bei 880,000
uniwood 850,0000
rising 800,000
ila uniwood na rising tunazo 32" tu
kwasasa ipo 43, 920,000Tcl ya inches 48 ni bei gani?
Inatoa ubarid wa kias gni hiiHii inatoa kama AC au ni FENI ya Kuzunguka kawaida
yenye free channel ipo lvipi? Nataka flat ya inch thelathin na mbili ya bei nafuu zaidi ila yenye kingamuzi ndani, ntapata ipi na ni shngap na ubora wake ukoje? Ina warrant?
900,000 ya samsungMkuu Naulizia Mashine ya kufulia na Kukausha nguo na bei yake!