INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Duka gani pale Mkuu?
Na Maduka ya Posta VAT yake "iko juu" kuliko VAT ya kariakoo kaka 😀😀
Hapa ni bei labda mkuu alimaanisha ila VAT ya POSTA sawa na K/KOO na MBAGALA na hata KOLOMIJE (18%)
 
Hapa ni bei labda mkuu alimaanisha ila VAT ya POSTA sawa na K/KOO na MBAGALA na hata KOLOMIJE (18%)
VAT ni asilimia 18 sehemu yoyote kwahiyo haiwezi kuwa chini sehemu fulani na kuwa juu sehemu nyingine.

Bei ya bidhaa ndio ina determine VAT yake iwe kiasi gani.

Mfano ukinunua bidhaa ya shilingi 300,000 VAT yake haiwezi kuwa sawa na VAT ya bidhaa ya shilingi 100,000
Nalijua hilo Wakuu,
Hiyo meseji ina Joke ndani yake, pia nimeweka "..........." kwenye neno iko juu kumaanisha ninajua ninachokiandika,
 
520efa872089a8bcc2640e1a80186f25.jpg
 
ac2aa56b7328c7adbab5b5d8d7206260.jpg

Fridge Boss mlango mmoja
nzuri na ya kisasa
ina pooza na kugandisha haraka
price 385,000
 
vipi? Nataka flat ya inch thelathin na mbili ya bei nafuu zaidi ila yenye kingamuzi ndani, ntapata ipi na ni shngap na ubora wake ukoje? Ina warrant?
 
vipi? Nataka flat ya inch thelathin na mbili ya bei nafuu zaidi ila yenye kingamuzi ndani, ntapata ipi na ni shngap na ubora wake ukoje? Ina warrant?
yenye free channel ipo l
kampuni ya digital bei 450,000
 
Back
Top Bottom