INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Kama upo serious hakuna kinacho shindikana tunatuma kokote Tanzania mifano wapo hum watatoa ushuhuda hii ilikua inaenda arusha
Mkuu kwa mf ukiwa mkoani na ukahitaji/ukanunua bidhaa zenu je mkituma nitalipia na gharama za usafirishaji au iko included kwenye bei ya bidhaa?
 
Mkuu upo vizuri na huna longolongo, hakika ndicho online business inachotaka. Printer za Epson A3+ za photo, zenye mitungi ya wino attached unazo?
 
Na ukitaka kuagiza mzigo ukiwa mkoani utaratibu unakuwaje?
Taratibu nizakawaida iko hivi kama utakua na imani ndogo unaweza kumtumia Jamaa yako alieko dar aje ofisini mzigo ulioagiza zen unamtumia hela yy ndio anatupa sisi kama utaniamini unanielekeza mkoa husika mm jioni naupeleka kwenye basi lolote au utakalo chagua ww kumbuka mm nikampuni ww n mteja mmoja siwez kuharibu brand kwa kuto kutekelzea haja yako uwezo kano wakupata mzigo ulio point kwa asilimia mia tunafanya hivyo kwa muda mrefu
 
Asante kwa ufafanuzi mzr bosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…