Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #141
Mkuu nisha kuwekeaMkuu weka na pcha za friji na frizer tuone nahitaji kujua na price yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nisha kuwekeaMkuu weka na pcha za friji na frizer tuone nahitaji kujua na price yake
OK zipo aina nyingi tajitahidi kukutumiaNipe bei ya fridge double door, brand zoote mlizonazo! Ikiwa mko cheap ntawaunga mkono
Zipo aina nyingi kama king max, boss, tiger, Honda, Bosch, nk zote bei moja na ufanisi mmoja na unapewa warrant miaka miwiliGenerator la 2.8Kv au zaidi unauzaje mkuu?
Aina zake na bei tafadhali...
Viti vya saloon vipo vya kisasa bei kuanzia 170,000 upande wapicha sina niwe muwazi siku weka ila unaweza kuja ofisini ukapataMkuu nafurahishwanatanatangazo yako na huna longokongo! TUWEKEE BEI YA VITI VYA SALOON ya kiume +picha
Nisha weka boss bado naendelea kuwekaweka flat tv na bei
Poa karibu sanamkuu jumatatu nitakuja hapo maana nami pia ofisi yetu ipo mtaa nyamwezi/uhuru
Speaker za radio ya gari ni tsh ngapi yenye uwezo wa kati?
Zile zakufunga kwa scews,2 pieces hauna?speaker ya gari bajaj pia![]()
Watt 300
Price 195,000
Picha mkuuYenye king'amuzi 580,000
Mkuu pitia post za nyuma kuna friji nyingiHujaniwekea friji au hamna
serious picha zote izo za friji hujaziona au unamanisha hajakuwekea ww binafsiHujaniwekea friji au hamna