INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Tuna bidhaa za maofisini na majumbani tupo Kariakoo msimbazi Azania benki flow ya chini kabisa pia mikoani tunatuma
Bidhaa zetu ni[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zane
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiumes
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
e38b9fef9515ca9c08f55689a3f861c3.jpg

With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Ntapata flat TV kubwa zaidi ya inch 45 na kwa bei IPI??!!
 
Nashukuru kwa kusikiliza ushauri wngu wa kuweka pcha za bidhaa zote,,,utafanikiwa na mm nitakua mmoja wapo
 
87d1472c294450f63cc9dbb29055f8e6.jpg
TV soul star inch 43 ina king'amuzi ndani
HDMI 2
Flash 2
Av 2
VGA
Price 780,000
 
Nipe bei ya fridge double door, brand zoote mlizonazo! Ikiwa mko cheap ntawaunga mkono
 
Back
Top Bottom