Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #81
Meza TV bracket unafunga inch 32-43
Price 185,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inch 32 una maanisha mkuuMku Mimi ninahitaji ila nitasubiria hizo ndogo ila Ijumaa nitakuja kununua TV 32 kama una jamaa yako aliye air cooler ndogo ili nije kuchukua vyote mku
Hapo hapo ulipo fika ulikutana navijana wengi hapo tupo hapo siunajua frame za Kariakoo zilivyo mkuu mm sikuepo ila vitu huwa vipo store na vigum mtu kukuelewesha kaka kama ulikua huna miadi nae kuna Dada alikuja kununua air cooler nililiondoka muda ule kama atapitia post atatoa ushahidiKaka Azania Chini Mnaamaanisha UnderFloor...Maana Flor ya kwanza ni ya Azania wenyewe.
2.Nimefika Underflow kila nnayemuuliza Nyie ndio mmeweka Tangazo JF wanabaki wanashangaa ..Sasa Pale Sijui yapo Maduka Mawili .
Nimeonyesha Picha ya Radio nlioyokua nataka ..wakaanza watu kunong'onezana Sijui ikaletwe Wap. Otherwise Nimekosea mnielekeze Vizuri.
Nilikua Pale Mda Kuna Mama Mmoja Na Mmewe nadhani waliku wananunua TV flani hivi Nchi 42 . ..sijui kama Ulikuwepo mda Huu .Hapo hapo ulipo fika ulikutana navijana wengi hapo tupo hapo siunajua frame za Kariakoo zilivyo mkuu mm sikuepo ila vitu huwa vipo store na vigum mtu kukuelewesha kaka kama ulikua huna miadi nae kuna Dada alikuja kununua air cooler nililiondoka muda ule kama atapitia post atatoa ushahidi
Takufanyia 485,000 mkuuUna tcl smart inch 32 bei gn
Hakuna shaka tutawasiliana mkuu muhim kuwa na nambaNdio mku Inch 32
Hii naja ichukua mwsho wa mwezRice cooker![]()
Price 90,000
Shaka ondoa mkuuHii naja ichukua mwsho wa mwez
Shukran kwa ufafanuzi mkuuKampuni inamata ila zote zina warrant miaka miwili mfumo wa HDMI AV na USB ni sawa afu hii ina screen mbili ouling nikampun mpya inayo tafuta soko nikama ilivyo kwa tronics na kampuni nyingine tronics sio kwamba nibora sana kuzidi nyingine ila kwenye ushindan iliingia mda mrefu
Hyo sumsung ya 535000 ndio imeunganishwa na king'amuzi moja kwa moj??Zipo mkuu