Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #121
Price 2530,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii rice Cooker ya kilo ngp? Na hauna ya kampun ya Kenwood?? Au isiyo na Maua Maua?Rice cooker![]()
Price 90,000
Zipo kila aina hiyo kg1 nanusuHii rice Cooker ya kilo ngp? Na hauna ya kampun ya Kenwood?? Au isiyo na Maua Maua?
Jumatatu wakat natoka home nakujulisha kabsa ili tusipoteane...Zipo kila aina hiyo kg1 nanusu
Hakuna shakaJumatatu wakat natoka home nakujulisha kabsa ili tusipoteane...
Na bei ni hyo hyo 90k au zinatofauti kutokana na kampuni?? Nahitaji KenWoodZipo kila aina hiyo kg1 nanusu
Inakuwa 175,000Na bei ni hyo hyo 90k au zinatofauti kutokana na kampuni?? Nahitaji KenWood
freezer ni juu au chini?Friji milango miwili boch![]()
Price 750,000
Juufreezer ni juu au chini?