Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #801
Spika huwaga zinakua 4 ndefu moja inakuwa ndogo yakat takufanyia 780,000 natunatuma popote TanzaniaLG ya 5 speakers ndefu zinapatikana? Bei ikoje? Mikoani mnatuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika huwaga zinakua 4 ndefu moja inakuwa ndogo yakat takufanyia 780,000 natunatuma popote TanzaniaLG ya 5 speakers ndefu zinapatikana? Bei ikoje? Mikoani mnatuma?
Muonekano sio muhim ttz unahitaji ukubwa gani na bei zinapishana kulingana na ukubwa mkuuSi wengine sio wataalam bro ila nlikusudia pinetech zenye muonekano tofauti na hiyo na bei inayofanana au chini ya apo na deki za kawaida tu za Tv
Niwekee size ya kati ambayo imepungua ukilinganisha na ile uliyopost mwanzoMuonekano sio muhim ttz unahitaji ukubwa gani na bei zinapishana kulingana na ukubwa mkuu
Vipi hujapata ingine kama hii...naitaka kabla ya weekend.Muonekano sio muhim ttz unahitaji ukubwa gani na bei zinapishana kulingana na ukubwa mkuu
Pinetech nch 28Hujaniwekea pinetech size ya kati iliyopungua ukubwaukilinganisha iyo uliyoiweka apo nyuma na bei yake
Ouling nch 32 ni 42,0000 Kama niliandika pungufu ya hapo niwie radhi mkuu mambo mengi na nili rekebisha mapema baada ya mtu mmoja ali qoute ndio nikaona kosa langu ouling iko vizuri warant miaka miwili Kama Samsung au LG radio nilio post ni ile ya 95000 mkuu auMi nlikua namaanisha pinetech radio size iliyopungua kwa ile uliyopost mwanzo,pia kuna utofauti upi kati ya hii pinetech tv inch 28 na ouling inch 32 an bay I uliandika 370000 au hii ouling ni feki ili nijue mapema kabla cjaagiza uniletee. Sorry kea usumbufu
Pinetech pale ndio mwisho kuna kubwa yake mkuu takuuzia 90Radio kama ile ila iliyopungua ukubwa itakua bei gan?
850,000EPSON PRINTER L805 BEI GANI
Zipo nch 25 250,000Na iyo Tv ouling inch 28 unazo na bei yake kiac gani
Boss unauwa Labda nikupe usede from ukNimekuelewa mkuu sasa samsung inch 28 unaweza kunifanyia 350000
Nlikua nahitaji iyo tv pamoja na ile Radio nifikirie mkuuBoss unauwa Labda nikupe usede from uk
Radio nakupa kwa 90 nahy Samsung nakupa usede imetumika ungereza mkuu ukiona bado mpya nakupa na warant ukitaka hata sahv utatumiwa Kama upo ndani ya dar hii kama nje kesho mapema utaipataNlikua nahitaji iyo tv pamoja na ile Radio nifikirie mkuu
440 sindio hesabu yenyew afu hy Samsung nakupa basi mkuu amini ukiiona utanambiaBac nipunguzie 20 kwenye iyo radio kwani nina 440 na nahitaji iyo samsung na Radio