INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Si wengine sio wataalam bro ila nlikusudia pinetech zenye muonekano tofauti na hiyo na bei inayofanana au chini ya apo na deki za kawaida tu za Tv
Muonekano sio muhim ttz unahitaji ukubwa gani na bei zinapishana kulingana na ukubwa mkuu
 
Muonekano sio muhim ttz unahitaji ukubwa gani na bei zinapishana kulingana na ukubwa mkuu
Vipi hujapata ingine kama hii...naitaka kabla ya weekend.

29105b22-bd9a-4ba7-9cac-241d33e0c79d_1.ba87f20adf5e0517ce62957c480b21e6.jpeg
 
Hujaniwekea pinetech size ya kati iliyopungua ukubwaukilinganisha iyo uliyoiweka apo nyuma na bei yake
 
Mi nlikua namaanisha pinetech radio size iliyopungua kwa ile uliyopost mwanzo,pia kuna utofauti upi kati ya hii pinetech tv inch 28 na ouling inch 32 an bay I uliandika 370000 au hii ouling ni feki ili nijue mapema kabla cjaagiza uniletee. Sorry kea usumbufu
 
Ouling nch 32 ni 42,0000 Kama niliandika pungufu ya hapo niwie radhi mkuu mambo mengi na nili rekebisha mapema baada ya mtu mmoja ali qoute ndio nikaona kosa langu ouling iko vizuri warant miaka miwili Kama Samsung au LG radio nilio post ni ile ya 95000 mkuu au
 
Nlikua nahitaji iyo tv pamoja na ile Radio nifikirie mkuu
Radio nakupa kwa 90 nahy Samsung nakupa usede imetumika ungereza mkuu ukiona bado mpya nakupa na warant ukitaka hata sahv utatumiwa Kama upo ndani ya dar hii kama nje kesho mapema utaipata
 
Bac nipunguzie 20 kwenye iyo radio kwani nina 440 na nahitaji iyo samsung na Radio
 
Back
Top Bottom